Ooh baba
Usinipe wazimu nikashindwa kulala
Na tena
Uchachu kama ndimu kila siku hasira
Mapenzi kama safari
Baridi utelezi bado tupo pamoja
Mwenzio nimezama
Usisikie mapendo unafanya vioja
Mwenzako mtumwa
Na kwa yako mapenzi natumikia
Nione huruma
Usije kuniacha ukanikimbia
Usinikimbie (vibaya)
Usinikimbie ayaa (vibaya)
Usinikimbie (vibaya)
Usinikimbie ayaa (vibaya)
Ooh
Yako mengi sana yakusikia
Sina maana utaambiwa
Kicheche kinoma
Sikupi mapenzi eti mimi nakuibia
Unajua mapenzi ni kuridhia
Nakupenda asilimia mia
Usinipe homa
Nitapata simanzi machozi kulia lia
Mwenzako mtumwa
Yako mapenzi natumikia
Nione huruma
Usije kuniacha ukanikimbia
Usinikimbie (vibaya)
Usinikimbie ayaa (vibaya)
Usinikimbie (vibaya)
Usinikimbie ayaa (vibaya)
Ooh
Mwenzako mtumwa
Mtumwa wee
Nione huruma
Huruma wee
Nitadataa (vibaya)
Nitadataa (vibaya)
Nitadataa eehey (vibaya)
Nitadata usinikimbie (vibaya)
Usinikimbie
Mwenzako mtumwa