395px

Tetete (part. Lomodo)

Bonga (TZ)

Jigambe Carolina eeh
Uno kama umetoka Congo
Simwagi namimina eeh
Eeh, jipinde kama unaruka gongo

Eeh eeh, una makekeke
Nikutulize na rungo la kipepepe (aah eeh)
Mambo ni bie bie bie
Kwenye kochi na kitandani nikuchekeche (aah eeh)

Ongeza miguno
Baby can shake your buloo
Maa ongeza miguno
Yeah, yeah, yeah, yeah

Ongeza miguno
Baby I can shake your buloo
Maa ongeza miguno
Yeah, yeah, ooh, yeah

Ooh whine your waist
Baby girl whine your waist
Ooh whine your waist
Yeah, yeah, ooh, yeah

Asa tetete
Baby tetete
Asa tetete
(Tembea kama una nyodo)
(Jivute kama umefungwa gogo)
Baby tetete
(Tembea kama una nyodo)
(Jivute kama umefungwa gogo)

Yaani tetete, ni ka baby face na
Kitandani ni kepesi
Yaani tetete, nikapige jeki
Maana ni kafundi ka karedio
Nimelewa ni tilalila (ooh tilalila)
Yeah kashafunga tatu mi bado bila (ooh tatu bila)

Ongeza miguno
Baby I can shake your buloo
Maa ongeza miguno
Yeah, yeah, ooh, yeah

Ooh whine your waist
Baby girl whine your waist
Ooh whine your waist
Yeah, yeah, ooh, yeah

Asa tetete
Baby tetete
Asa tetete
(Tembea kama una nyodo)
(Jivute kama umefungwa gogo)
Baby tetete
(Tembea kama una nyodo)
(Jivute kama umefungwa gogo)

Wamewaka kwa usharo wa Insta (kainama)
Insta kavamia sista (kainama)
Nasema tabasamu kakunja ndita (kainama)
Nitembeze nitembeza (kainama)

Na masai kavuliwa shuka (kainama)
Geri na umbea wa Insta (kainama)
Chipsi shingo ka sizi kuvuta (kainama)
Nitembeze nitembeza (kainama)

Escrita por: