395px

Sijaona

Diamond Platnumz

Agaah
Ati niende kwa mganga
Ntoe doti za kanga
Ama nikufunge kamba
Ntadanganya mie eeh
Aah
Nyumbani nifuge mamba
Mara mlinzi kwa panga
Kuchunga usije danga
Uwongo nisikwambie

Hum
Moyo wangu usiufanye njia ooh
Ukapita ooh nitaumia
Shamba langu wakanivunia ooh
Yote tisa ukanibeza na kukimbia
Tena unga ujengezi
Usitishe na sanaa
Ukaninyima malezi
Nikakosa hata raha, ah
Nikaanza kuvunja nazi
Kutwa kuchwa kafara aah
Nililie kipenzi, nakukunda oh karaha

Oh sijaona
Sijaona
Sijaona kama wewe
Hhhmm juwa mimi
Sijaona (sijaona mimi)
Sijaona (sijaona bado)
Sijaona kama wewe

Hhhmm aah
Refa kapiga kipenga
Ronaldo punguza chenga
Kuku tulia kwa tenga
Mbwembwe tupa kule
Aah
Na upunguze kujiremba
Wasije wakakupenda
Kuna warabu wapemba
Ukanisusa bure

Nisiwe napata tabu
Chemsha mawe kumaliza kuni eeh
Kumbe kung'ah dhahabu
Kuichoma sio sabuni
Nishajipaga moyo
Wewe ndio mwisho wa reli
Basi jifunze choyo
Wasije nikejeli
Uwezo wangu wa toyo mie
Sijafikia meli
Acha wacheze loyal
Sie kwetu singeli

Ooh, moyo wangu usiufanye njia oh
Ukapita sana nitaumia
Shamba langu wakanivunia oh
Kesho wakaja kukuteka na matusi kunitupia
Juwa mwenzako mimi

Ooh
Sijaona (bado mimi)
SIjaona (mwenzio mimi)
Sijaona (sijaona) kama wewe
Unajua mimi
Sijaona (unajua mimi)
Sijaona (sijaona mimi)
Sijaona kama wewe

Agah
Hasa Mose Kunambi
Alele (alele Alee)
Alele (alele Alee)
Alele (alele Alee)

Agah Mkubwa Fella
Alele (alele Alee)
Alele (alele Alee)
Alele (alele Alee)

Agah
Tiffah Dangote
Alele (alele Alee)
Alele (alele Alee)
Alele (alele Alee)

Agah
Makame Fumbwe
Alele (alele Alee)
Alele (alele Alee)
Alele (alele Alee)

Escrita por: