Hino da Tanzânia
Mungu ibariki Afrika
Wabariki Viongozi wake
Hekima Umoja na Amani
Hizi ni ngao zetu
Afrika na watu wake
Ibariki Afrika
Ibariki Afrika
Tubariki watoto wa Afrika
Mungu ibariki Tanzania
Dumisha uhuru na Umoja
Wake kwa Waume na Watoto
Mungu Ibariki Tanzania na watu wake
Ibariki Tanzania
Ibariki Tanzania
Tubariki watoto wa Tanzania
Himno de Tanzania
Dios bendiga a África
Bendice a sus líderes
Sabiduría, unidad y paz
Estos son nuestros escudos
África y su gente
Bendice a África
Bendice a África
Bendecimos a los niños de África
Dios bendiga a Tanzania
Mantén la libertad y la unidad
Para hombres, mujeres y niños
Dios bendiga a Tanzania y su gente
Bendice a Tanzania
Bendice a Tanzania
Bendecimos a los niños de Tanzania