395px

Jambo Bwana

Kenyan Boys Choir

Jambo, Jambo bwana
Habari gani
Mzuri sana

Wageni, Wakaribishwa
Kenya yetu Hakuna Matata

Kenya nchi nzuri
Hakuna Matata

Nchi ya maajabu
Hakuna Matata

Nchi yenye amani
Hakuna Matata

Hakuna Matata
Hakuna Matata

Watu wote
Hakuna Matata
Wakaribishwa
Hakuna Matata

Hakuna Matata
Hakuna Matata
Hakuna Matata
Hakuna Matata

Escrita por: