395px

Kilo

Leteipa the King

Mtoto si una pandashika
Nyama safi kama tangi na ime tawanyika
Kama dhambi siunatamanika
Mpaka rangi ya malighafi na umenyamanyika
Nimedrop shilingi
Ninadai uipick ndo niflos kijimbi
Niko short sipingi
Kimasai nina stick moja strong kikingi
Hizo scones ni mingi
Ziko soft kiwimbi
Nipe shot nitindi
Zangu huwa triple shots kishindi

Jitandaze ujieneze, kilo
Ninataka nijiekegeze kilo
(Ongeza) kilo
Nimepanga nikutembeze, kilo
Kona zote fiche hadi ujieleze kilo
(Babe tena ongeza) kilo
Aah kilo
(Ongeza) kilo
Eeh kilo
(Babe tena ongeza) kilo
Kilo kilo kilo
Auuh kilo
Ongeza kilo
Babe tena ongeza kilo

Are you a daughter from the sun?
Ama mrembo unatokea angel clan
Wa kipekee kwa kivyako haufanan
Kila siku In a million we ni one
My hun
Every time I see you
I think no good
Maaana nakuonaga kama drink
Kama food
The way you are girl
Is just so mwah
Sijawahi kuwa outmood
We hunikeep in mood
Give me a look
Give me your face
Come, come closer let me hold your waist
What you did to me jana
Nataka tena
Siezi kukutenda
Labda nikutende mema
Ukitaka kwenye kochi ninakupa waah
Ukikamatia goti ninakupa waah
Ukitaka kwenye bed nikapa waaah
Unanipa waaah

Ongeza
Babe tena ongeza
Jitandaze ujieneze, kilo
Ninataka nijiekegeze kilo
(Ongeza) kilo
Nimepanga nikutembeze, kilo
Kona zote fiche hadi ujieleze kilo
(Babe tena ongeza) kilo
Aah kilo
(Ongeza) kilo
Eeh kilo
(Babe tena ongeza) kilo
Kilo kilo kilo
Auuh kilo
Ongeza kilo
Babe tena ongeza kilo

Escrita por: Leteipa The King