Kwako tetere nishazubaa
Nipe mchele, usinipe chuyaa
Uwache pele, tuliza pupa, ooh ooh
Usije ukaniua titiri, ooh
Ooh nishakupa vyote vyako (ooh lalala)
Mautam mamnato (ooh lalala)
Niteke (mateka niteke)
Niteke (niteke teke niteke)
Niteke teke (mateka niteke)
Niteke (ooh)
Siri ishia mrama
Mwaga mwaga ma
Siri ishia mrama
Mwaga mwaga ma
Uma fiti, nidhibiti
Ukimumunya pipi
Utamu wa kisiginoni
Nichikiche nichikichi
Sina shovu nnje ya kiti
Leo unakesha kilindoni
Nitwange nipepete
Nisage nichekeche
Nikande niumbuke
Kilima nipandishe
Kibinda mkoi mkoi (aaee eeh)
Kiwinda pori pori (aaee)
Naringa doli doli (aaee eeh)
Mawinga chori chori
Niteke (mateka niteke)
Niteke (niteke teke niteke)
Niteke teke (mateka niteke)
Niteke (ooh)
Siri ishia mrama
Mwaga mwaga ma
Siri ishia mrama
Mwaga mwaga ma
Mateka niteke
Niteke teke niteke
Mateka niteke
Ooh
Mwaga mwaga ma!