395px

Chombo

Rayvanny

S2kizzy Baby

Ololololololo
Hehehe eh Vanny Boy
Ololololololo
Vanny boy

Hey Foundation, wanja
Nywele ya bei ya kiwanja
Ndinga mkwanja
Shopping mwendo wa kuchanja
Sponsor danga
Nichune komesha viranga
Basi vimba tamba
(Pull up) wakikuchamba

Ooh lalala
Cheusi mangala Wakanda
Ooh lalala
Tukale sangara wa mwanza
Ooh lalala
Nywele chotara kinanda
Ooh lalala
Ghetto papara misamba

(Chombo, chombo, chombo)
Kanakwenda na fashion
(Chombo, chombo, chombo)
Kana ngozi ya lotion
(Chombo, chombo, chombo)
Party chumbani sebuleni
(Chombo, chombo, chombo)
Ntakapeleka ukweni

Macho yako malewa mie
Figo mkalia nyongo
Pekecha pekecha
Ulindi ulimbombo
Miniwako ning'ang'anie
Kama mbozi na kimondo
Nogesha nogesha
Pekere na kamongo

Ooh baby baby (baby)
Mwenzako nita died (my baby)
Hizo fujo chumbani
Betuka binuka kwa bed beed

Ooh lalala
Cheusi mangala Wakanda
Ooh lalala
Tukale sangara wa mwanza
Ooh lalala
Nywele chotara kinanda
Ooh lalala
Ghetto papara misamba

(Chombo, chombo, chombo)
Kanakwenda na fashion
(Chombo, chombo, chombo)
Kana ngozi ya lotion
(Chombo, chombo, chombo)
Party chumbani sebuleni
(Chombo, chombo, chombo)
Ntakapeleka ukweni

Ololololololo
Ololololololo

Escrita por: