Ayee Rhumba imetamba
Sauti Sol inna di area kumechacha
Karibuni kwenye Extravaganza
Bensoul alipofika alifunika eeh
Wakaja na madrama
Cinema zetu ni Telenovela eeh
Wakasunda mizinga
Hawakujua si tuko mavela iyee
Wakaita polisi
Kumbe polisi pia ni shabiki eeh
Wakaficha msosi
Wakatupata na dishi mezani
Ayee Rhumba imetamba
Sauti Sol inna di area kumechacha (kila kona yoyo)
Karibuni kwenye Extravaganza
Na Nviiri alipofika alifunika eeh
Walifunga milango
Wakatupata tuko ndani nao, aah
Wakaita makanjo
Kumbe ni sisi huwalipa salo wowoo
Wakazima mitambo
Shabiki wakabaki kwenye dance floor
Na iwe funzo kwao, aah
Tunaongoza wanafuata nyayo
Ayee Rhumba imetamba
Sauti Sol inna di area kumechacha
Karibuni kwenye Extravaganza
Na Crystal alipofika alifunika eeh
Wakaja na umati
Wakageuka kuwa wafuasi
Wakaja na majini
Wakapata tushazama kwa dini
Nywele za kifarasi
Lakini si ni moto ya makasi
Risasi mwendo kasi
Dandieni msiwachwe na basi
Ayee Rhumba imetamba
Sauti Sol inna di area kumechacha
Karibuni kwenye Extravaganza
Kaskazini walipofika walifunika eeh
Wakaenda kusini
Wakajipata wako kaskazini, eeh
Wakaja na magigi
Lakini si tukaja na muziki, eeh
Wowowo, yeah, yeah, yeah
Hata wazime taa tutazidi kuparty
Wowowo, yeah, yeah, yeah
Hizi vitu hazitakangi utiaji
Na wakiapisha (tunaapisha)
Na wakifunika (tunafunua)
Eh wakianika (tunaanua)
Na wakisafisha (tunachafua)
Ayee Rhumba imetamba
Sauti Sol inna di area kumechacha (mama yoyoyoo)
Karibuni kwenye Extravaganza
Karibuni kwenye Extravaganza
Ayee Rhumba imetamba
Sauti Sol inna di area kumechacha
Karibuni kwenye Extravaganza
Karibuni kwenye Extravaganza
(Why are you looking for trouble, trouble, trouble?)
Hapana rusha mawe kwa police station
Kabla uwashe kivela cheki situation
Hapana shusha bendera kwa chifu
(Why are you looking for trouble, trouble, trouble?)
Bibi ya wenyewe is a no-go zone
Kabla ukute vitu piga protection
Nairobi mwizi utageuzwa jivu
(Why are you looking for trouble, trouble, trouble?)
Hapana rusha mawe kwa police station
Kabla uwashe kivela cheki situation
Hapana shusha bendera kwa chifu
(Why are you looking for trouble, trouble, trouble?)
Bibi ya wenyewe is a no-go zone
Kabla ukute vitu piga protection
Nairobi mwizi utageuzwa jivu