Eeh siri ya penzi uvumilivu
Ukiwa na hali we utaaribu
Haki yake mtendee
Akikosa msamehe
Yakipita yamepita mgange yajayo
Siri ya penzi eeh kuheshimiana
Achana na jeuri, achana na kibuli
Siri zake mlindie
Mali zake mtunzie
Hadharani chumbani niamini mwenzio
Ngoja nikwambie eeh nikwambie
Ngoja nikwambie eeh nikwambie kwambie
Ngoja nikwambie eeh nikwambie
Ngoja nikwambie eeh nikwambie kwambie
Ukishikwa masikio na wasiokutakia
Mema wee utapotea aah, aah
Maneno ya nje sumu sio kila jirani mwema
Kuwa makini aah
Aah, aah
Siri ya penzi ooh kutifichana
Aah, aah
Siri ya penzi Kuaminiana aah
Ngoja nikwambie eeh nikwambie
Ngoja nikwambie eeh nikwambie kwambie
Ngoja nikwambie eeh nikwambie
Ngoja nikwambie eeh nikwambie kwambie
Nikwambie
Nikwambie
Nikwa nikwambie
Nikwambie
Nikwambie
Nikwa nikwambie
Ukiwa kiziwi atakuabudu
Ukimuhusudu atakuhusudu
Tenda utendewe
Tenda utendewe
Tenda utendewe
Ooh
Ukiwa kiziwi atakuabudu
Ukimuhusudu atakuhusudu
Tenda utendewe
Tenda utendewe
Tenda utendewe
Siri ya peenzi
Ngoja nikwambie eeh nikwambie
Ngoja nikwambie eeh nikwambie kwambie
Ngoja nikwambie eeh nikwambie
Ngoja nikwambie eeh nikwambie kwambie
Siri ya penzi ooh kutifichana aah
Siri ya penzi Kuaminiana aah
Ngoja nikwambie eeh nikwambie
Ngoja nikwambie eeh nikwambie kwambie
Ngoja nikwambie eeh nikwambie
Ngoja nikwambie eeh nikwambie kwambie