Pwaa
Hee
Pwaa
The baddesta baddest
Kumbe wanatamani nijifiche
Nikose pesa nikose na mishe mishe
Alieniumba ata asinikumbuke
Sina makosa nao wananiombea nife
Hawapendagi kuona ata nahema
Wakinikosea Eti nibakiege kimya
Nashindwa kuwa na wasi wanaroho za kinyama
Sina damu ya usepetu ningeutenda wema
Niliamini wengi ni marafiki
Kumbe marafiki wachache wengi wanafki
Kisa wamekosa mkate chai awataki
Mafanikio tu kidogo wana hamaki
Kwa mungu na haki zogo staki
Wana maneno maneno ya mwendo kasi
Siwapi nafasi ata wakidiss
ETI Tammy najiskia nipunguzeni sauti
Roho mbaya zao ooh
Roh mbaya zao ooh, yeah
Mtoto wa kiume unalegeza pua
Ona mtoto wa kike nnavyochana nnavyodunda Na
Watoto wa kiume mnavyobana pua
Ona mapigo ya kichina na who know know know
Skia
Ona awa kibao nawaficha kwangu
Roho yangu sio yao nipe tano zangu
Epuke na ufalao mi ni kiza wangu
Na ridhiki niliyo nayo ni ya kwangu yangu
Na kaza kweli wao wanapiga domo
Promo zinafail sijashikwa mkono
Wanga wanakejeli jeuri na maneno
Nimejifunza kupitia naishi kwa mifano
Hawapendi niwe hai wanalet down
Never stop a life help me baba God ooh
Wana pray mi die wao wafurahi
Sijawakosea hawanipendi ata kidogo
Kwa mungu na haki zogo staki
Wana maneno maneno ya mwendo kasi
Siwapi nafasi ata wakidiss
ETI Tammy najiskia nipunguzeni sauti
Mtoto wa kiume unalegeza pua
Ona mtoto wa kike nnavyochana nnavyodunda Na
Watoto wa kiume mnavyobana pua
Ona mapigo ya kichina na who know know know
Tarumbeta tarumbeta tarumbeta tarumbeta
Wanapepeta napepeta napepeta napepeta wee
Roho mbaya zao ooh, yeah
Roh mbaya zao ooh, yeah
Mtoto wa kiume unalegeza pua
Ona mtoto wa kike nnavyochana nnavyodunda Na
Watoto wa kiume mnavyobana pua
Ona mapigo ya kichina na who know know know
Pwaa
Pwaa
Pwaa
Pwaa