395px

I Like It

Viola Karuri

Ooh baby mmh
Mzito kama bombadia
Nami nakumiss ooh
Hata ukija nitakukumbatia

Ukiwa mbali ka ki dondo ndo
Mi namiss muhugo huo
Kachumbari nayo ndimu kidogo
Tamu mpaka kwa kisogo, ayee

Mi najing'ata baby ooh
Utamu umezidi baby ooh
Utaniua mwenzio
Mi nishakupenda daddy oo

I say mi najing'ata baby ooh
Utamu umezidi baby ooh
Utaniua mwenzio
Mi nishakupenda hunny oo

Aah ukinishikaga
I like it, I like it, I like it
Hii ukikataga
I like it, I like it, I like it
Nakupendaga

Mmmh mi napenda venye unanishika
Mbio mbio huku mikito inakita
Unanishika penyewe mi nafika
Vanga vanga jasho mi najaza ndoo

Mapigo fulani hivi ya kikomando
Sikuachi leo kesho wala mtondogoo
Nitakufa na wewe

Hata wakija beiby wakihonga doo
Sitakubali jua nitasema no
Nitakupenda mpaka utauma poo
Nitabaki na wewe

Mi najing'ata baby ooh
Utamu umezidi baby ooh
Utaniua mwenzio
Mi nishakupenda daddy oo

I say mi najing'ata baby ooh
Utamu umezidi baby ooh
Utaniua mwenzio
Mi nishakupenda hunny oo

Aah ukinishikaga
I like it, I like it, I like it
Hii ukikataga
I like it, I like it, I like it

Nimekubali hunny, I like it
Na kiuno ukikataga
I like it, I like it, I like

Aah ukinishikaga
I like it, I like it, I like it
Hii ukikataga

Escrita por: