395px

Fanya

Willy Paul

Rapapapapampapapampapam
Ayagayaw
Willy Paul Willy Poze

Willy Paul Willy Poze
Willy Paul Willy Poze rra
Mabinti walinichanganya, cha
Nairobi mpaka Mombasa, cha
Kayole mpaka Dandora, cha
Mathare mpaka Huruma, cha
Ghetto mpaka tribeka, ni kweli mimi awillie
Nilikuanga mzirire, walinitesa mabintire
Hivi leo nimerudi-ee, ai, kwa mwenyeziree anisamehe

Jalali nimekumissi sanaa
Kukupenda ndio nataka kufanya
Fafa fanya fafa fanya
Fafa fanya fafa fanya
Fafa fanya fafa fanya
Fafa fanya fafa fanya

Wollitup mic check one, two, si mnafahamu yule daudi-re
Alitenda madhambi eeh, lakini mungu ee alimpenda eeh
Tunajua huyu daudi-ee alikwendaa-re akapotea
Leo leo narudi kwa papa
Nikikweli eeh mimi awille, nilikuanga
Ni kweli mimi ah willie
Nilikuanga mziririe
Walinitisha mabintire
Hivi leo nimerudi-ee
Kwa mwenyezi-ree anisamehe

Jalali nakumiss sanaa
Kukupenda ndio nataka kufanya
Fafa fanya fafa fanya
Fafa fanya fafa yanya
Fafa fanya fafa fanya
Fafa fanya fafa fanya

Mhh kamata chini, na, na, na, na
Juu kwa juu na, na, na, na, na
Siku za mwisho zimewadia
Wangapi watarudi na me today, kwake babaa

Oh halleluyah
Oh halleluyah
Oh halleluyah
Oh halleluyah
Oh halleluyah

Escrita por: