395px

Lala Salama

Willy Paul

Willy Willy, uh Willy Paul yoyoo yoyoo yoyoo ooh
Tumba tumba tumba tumba eeeh
Richie bitz
Kama ni kachumbari, ooh tulikula lala
Kama ni katurungi, ooh tulikunywa lala
Kama ni kauji, ooh tulikula lala
Hata kapepsi no, ooh tulikosa sana
Zaidi ya maji, ooh nasiutani rafiki rafiki
Ooh nasiutani rafiki rafiki
Ooh nasiutani
Ooh, ooh, ooh, ooh

Uu lala salama, baba ulale salama
Uu lala salama, baba ulale salama
Salama salama salama
Salama
Salama salama salama
Salama

Oh tangu uondoke
Mama amekuwa akiteseka sana
Na magonjwa kwa kupigwa kwa kurushwa nanana
Kwa kupigwa kwa kukandwa kwa kurushwa aah
Bado jalali ametulinda, akutuacha tuangamie
Bado mwenyezi ametulinda, akutuacha tuangamie
Kabla uondoke ulitambua kanilikua msanii
Nikafanya rabuka, nikafanya nisitolia, nikafanya
Nimpenzi
Na sasa you never know

Uu lala salama, baba ulale salama
Uu lala salama, baba ulale salama
Salama salama salama
Salama
Salama salama salama
Salama

Majirani wakuulizia msela ulienda wapi
Wateja wauulizia fundi alienda wapi
Watoto wauulizia jamani ulienda wapi
Watoto wauulizia baba willy alienda wapi
Inabidi niwadanganye, eeh baba ako ofisini
Inabidi niwadanganye, baba ameitwa kazi
Ooh inaniuma ooh inaniuma ooh inaniuma aah
Moyoni inachoma moyoni inachoma moyoni
Inachoma aah

Uu lala salama, baba ulale salama
Uu lala salama, baba ulale salama
Salama salama salama
Salama
Salama salama salama
Salama

Jalali akulinde akuweke pema peponi
Uu lala salama, baba ulale salama
Uu lala salama, baba ulale salama
Salama salama salama
Salama
Salama salama salama
Salama

Eeeh ooh eeeh ooh
Salama salama salama
Salama
Salama salama salama

Escrita por: