395px

Baikoko

Mbosso

Baikoko

ayo laizer
kako fine
kila ninikaweka kwenye line
(bilabila)
shuwaini
kwake nimelewa kama wine
(tilalila)

baby acha unachezaga (baikoko)

ye sisimizi nami gegedu
tuna gegeduana
nilivyo sina jinsi
tajiri wa mbegu
namuhonga na mwana

baba mndenge mama mzaramo
uno lake la kurithi
kafunga tenge mwali chakalamu shetani mwana ibilisi

jipuu (jipu)
uchungu (uchungu)
mwana nyuma umejaza
kishundundu

kwenye zipu (zipu)
kuna kirungu (kirungu)
usikamate utawaita wazungu

eeh heeh
babu mkuna nazi aah haah achutama kishinani
na msuli wake upo wazi
mambo yote hadharani

go! go! go! go! goal
mtoto anadaka
goli kipa runya mira (wabeja)
tena akikata anaitikisa sababu

baby acha unachezaga (baikoko)
unavyo baby (baikoko)
unavyoinyonga (baikoko)
eeh waonyeshe (baikoko)

baby acha unachezaga (baikoko)
unavyo baby (baikoko)
unavyoinyonga (baikoko)
eeh waonyeshe (baikoko)

asa komesha dengua! dengua
baby dengua! dengua
ringa dengua! dengua
deka dengua! dengua wakuone

kanivua ndala miguu
anataka nipite peku (peku peku)
kunduchi juu anifikishe kwetu
(kwetu kwetu)

embu tamu ladha ya kitumbua
rojo ya embe kibada! kibadah
hodari kunengua
miuno ya ushubwada (shubwadah)

nyuma kalisasambua
kafungasha midabwada (bwaadah)
anavyo tafuna mua
ka kibogoyo dada!

katoto kamelainika kwala (kwala)
kapo kama ndizi banana (nana)
nitakapeleka kwa mama (mama)
mama dangote

kama kuku twakimbizana (zana)
kana ibuka kana zama (zama)
kamwili kana balaa na lana (lana) lana kazote

ebooh! mtoto anadaka
goli kipa ronya mira (wabeja)
tena akikata anaitikisa sababu

baby acha unachezaga (baikoko)
unavyo baby (baikoko)
unavyoinyonga (baikoko)
eeh waonyeshe (baikoko)

baby acha unachezaga (baikoko)
unavyo baby (baikoko)
unavyoinyonga (baikoko)
eeh waonyeshe (baikoko)

asa komesha dengua! dengua
baby dengua! denguagua
ringa dengua! dengua
deka dengua! dengua wakuone

kama anaifata
anaima anainuka mwali anaifuata
kwakujishebedua
anainama anainuka mwali anaisusa

kama hataki mwaache
anaima anainuka mwali anaifuata
kwa madoidoi
anaima anainuka mwali anaifuata
(brrrok)

(ka-mix layzer)
(wasafi)

Baikoko

Los, Laizer
Komm schön
Ich stelle jeden in die Reihe
(bilabila)
Schau mich an
Ich liebe es wie Wein
(tilalila)

Baby, hör auf zu tanzen (baikoko)

Ja, Ameisen und ich wackeln
Wir wackeln zusammen
Ich kann nichts tun
Reicher Sammler
Schmeißt mit der Tochter

Papa von Mndenge, Mama von Mzaramo
Das Land wird vererbt
Hat den Segen, das Mädchen von Satan, Sohn des Teufels

Mach dich bereit (jipu)
Es tut weh (uchungu)
Das Kind hinten ist voll
Kischundundu

In der Zip (zipu)
Ist ein Gefühl (kirungu)
Fass nicht an, du wirst Weiße rufen

Eeh heeh
Opa, klopf die Kokosnüsse, ah ha ha, schau nicht hin
Und sein Körper ist nackt
Alles ist öffentlich

Los! Los! Los! Los! Tor
Das Kind trifft
Das Tor ist bereit, Mira (Wabeja)
Wenn er schneidet, zittert der Grund

Baby, hör auf zu tanzen (baikoko)
So wie du Baby (baikoko)
So wie du es machst (baikoko)
Eeh, zeig es (baikoko)

Baby, hör auf zu tanzen (baikoko)
So wie du Baby (baikoko)
So wie du es machst (baikoko)
Eeh, zeig es (baikoko)

Jetzt, lass die Dengua aufhören! Dengua
Baby, Dengua! Dengua
Ring, Dengua! Dengua
Deka, Dengua! Dengua, um dich zu sehen

Sie hat mir die Beine ausgezogen
Will, dass ich alleine gehe (peku peku)
Voriges Jahr will sie mich erreichen
(kwetu kwetu)

Schmecke die Süße von Kitumbua
Saftiger Mangoschnaps! Kibadah
Talentiert im Wackeln
Die Hüften von Ushubwada (shubwadah)

Hinten ist es auseinander gefallen
Sie verpackt die Überraschung (bwaadah)
Wie sie beißt
Wie ein Mädchen!

Das Kind ist weich und will (kwala)
Ist wie eine Banane (nana)
Ich werde sie zu Mama bringen (mama)
Mama Dangote

Wie Hühner, wir rennen (zana)
Einer taucht auf, einer geht unter (zama)
Ein Körper ist ein Unglück und Fluch (lana) lana alles

Ebooh! Das Kind trifft
Das Tor ist bereit, Mira (Wabeja)
Wenn er schneidet, zittert der Grund

Baby, hör auf zu tanzen (baikoko)
So wie du Baby (baikoko)
So wie du es machst (baikoko)
Eeh, zeig es (baikoko)

Baby, hör auf zu tanzen (baikoko)
So wie du Baby (baikoko)
So wie du es machst (baikoko)
Eeh, zeig es (baikoko)

Jetzt, lass die Dengua aufhören! Dengua
Baby, Dengua! Dengua
Ring, Dengua! Dengua
Deka, Dengua! Dengua, um dich zu sehen

Wenn sie es nachverfolgt
Sie singt und hebt sich, das Mädchen folgt ihr
Weil es geht
Sie beugt sich, sie hebt sich, das Mädchen folgt ihr

Wenn sie nicht will, lass sie gehen
Sie singt und hebt sich, das Mädchen folgt ihr
Für die Madoidoi
Sie singt und hebt sich, das Mädchen folgt ihr
(brrrok)

(Ka-Mix Laizer)
(Wasafi)

Escrita por: