visualizaciones de letras 1

Chibonge (feat. Marioo, Hanstone & Byter Beast)

Abbah

Letra

    Kama kupenda maradhi, niko hoi taabani
    Na kama kutangaza nakupenda kosa, nifungwe
    Kama kupenda upofu, mi sioni na sisikii
    Ndo maana natangaza nakupenda

    Moyo wangu usiangamie
    Sichepuki makona kona
    Na upona niugue
    Ukifika mi napona pona
    Na rangi yako ya black me nakuona white
    We kifupi nyundo, nakuonaga mnara
    Anapo ona dawa, mwepesi

    Mmh aah japo chii chii, chibonge
    Aah chi chi chi chibonge
    Chi chi chibonge
    Aah chi chi chi chibonge

    Aah minyama tu
    Akipita minyama
    Anatingisha minyama tu
    Vile akipita minyama

    Aah minyama tu
    Akipita minyama
    Anatingisha minyama tu
    Vile akipita minyama, minyama

    Shepu ya mabonde mabonde, nimeridhia
    Nitakumiliki usikonde, ata nikifulia
    Ooh beiby unashoza ng'ombe, mbuzi wanakimbia
    Na uwasha mhogo wa jang'ombe leta sufuria

    Beiby usijipe stress, wewe kibonge mwepesi
    Waruka mpaka sarakasi, samba kareti
    Unajua eeh
    Hips kiuno shangao za machaini chaini (beiby you like the)
    Nyembamba kiuno chako feni (gyal gyal)

    Mmh aah japo chii chii, chibonge
    Aah chi chi chi chibonge
    Chi chi chibonge
    Aah chi chi chi chibonge

    Aah minyama tu
    Akipita minyama
    Anatingisha minyama tu
    Vile akipita minyama (minyama)

    Mwenzako mi napendaga vibaya, baya baya
    Mwenzako mi nina ugonjwa wa moyo, moyo moyo
    Mwenzako mi napendaga vibaya
    Mwenzako mi nina ugonjwa wa moyo


    Comentarios

    Envía preguntas, explicaciones y curiosidades sobre la letra

    0 / 500

    Forma parte  de esta comunidad 

    Haz preguntas sobre idiomas, interactúa con más fans de Abbah y explora más allá de las letras.

    Conoce a Letras Academy

    ¿Enviar a la central de preguntas?

    Tus preguntas podrán ser contestadas por profesores y alumnos de la plataforma.

    Comprende mejor con esta clase:

    0 / 500

    Opciones de selección