Na Wewe Tu

Black Blood

Letra

    Mi nataka kuwa nawe
    Wa na wewe tu
    Ulonifanya kuwa nawe
    Wa na wewe tu
    Aah
    Aah

    Mi nataka kuwa nawe
    Wa na wewe tu
    Ulonifanya kuwa nawe
    Wa na wewe tu
    Mi nataka kuwa nawe
    Wa na wewe tu
    Ulonifanya kuwa nawe
    Wa na wewe tu

    Mpenzi wangu nakupenda (nidon)
    Mimi kwa mwingine sitokwenda
    (I won't go nowhere)
    Mpenzi wangu nakupenda
    Jua kwa mwingine sitokwenda
    Kupenda sitochoka
    Milele mi moyoni nitakuweka
    Kupenda sitochoka
    Milele mi moyoni nitakuweka
    (I know you like it girl)
    Kuna watu wanachonga (chonga)
    Wanasema umenipa limbwata
    Kuna watu wanachonga
    Wanasema umenipa limbwata
    (Oh my God)
    Hata kama wakichonga
    Ujue bado mimi nakupenda
    Hata kama wakichonga
    Ujue bado mpenzi nakupenda

    Mi nataka kuwa nawe
    Wa na wewe tu
    Ulonifanya kuwa nawe
    Wa na wewe tu
    Mi nataka kuwa nawe
    Wa na wewe tu
    Ulonifanya kuwa nawe
    Wa na wewe tu

    Nitasame nikoconda
    (Alright baby)
    Yote kwa sababu nakupenda
    (See gyal them skilled out here)
    Nitasame nikoconda
    Eti kwa sababu nakupenda
    (Feel me with all you got)
    Hunache siku weza (alright)
    Ufatapale wewe takokwenda
    (Risking them cold nights)
    Hunache siku weza (okay)
    Ufatapale wewe takokwenda
    Watowana nitazoba (zoba)
    Wanasema eti umeniroga (baby gyal)
    Watowana nitazoba
    Wanasema eti umeniroga
    (I'm all on you gyal)
    Hata kama wakichonga
    Ujue bado mimi nakupenda (freaky baby)
    Hata kama wakichonga (okay)
    Ujue bado mpenzi nakupenda (alright then)

    Mi nataka kuwa nawe
    Wa na wewe tu
    Ulonifanya kuwa nawe
    Wa na wewe tu
    Mi nataka kuwa nawe
    Wa na wewe tu
    Ulonifanya kuwa nawe
    Wa na wewe tu (shirko bout to tell all of dem)

    Me know me wanna be with ya
    Baby gyal me still believe ya (believe ya)
    I'll take you to me work to know me won't decieve ya (decieve ya)
    Me love ya dats true and baby gyal you my crew (ya my crew)
    And girl I'll be with you if you say I love you too (I love you too)
    Remember last ting I let you be my boo (my boo)
    I never gonna say I don't wanna be with you
    Baby gyal you make me fantasize that way you hypnotize
    Ya looking at me like a fool dat make dem dumb to realize

    Mi nataka kuwa nawe
    Wa na wewe tu
    Ulonifanya kuwa nawe
    Wa na wewe tu
    Mi nataka kuwa nawe
    Wa na wewe tu
    Ulonifanya kuwa nawe
    Wa na wewe tu

    Yo, 2berry, Shirko, Big O
    Tedy Records
    Ya, and Metro too, yeah
    Yeah

    Mi nataka kuwa nawe (yeah)
    Wa na wewe tu (yeah)
    Ulonifanya kuwa nawe
    Wa na wewe tu
    Mi nataka kuwa nawe (wana we)
    Wa na wewe tu (wewe tu ooh)
    Ulonifanya kuwa nawe (wana we)
    Wa na wewe tu (ooh)
    Ooh


    Comentarios

    Envía preguntas, explicaciones y curiosidades sobre la letra

    0 / 500

    Forma parte  de esta comunidad 

    Haz preguntas sobre idiomas, interactúa con más fans de Black Blood y explora más allá de las letras.

    Conoce a Letras Academy

    ¿Enviar a la central de preguntas?

    Tus preguntas podrán ser contestadas por profesores y alumnos de la plataforma.

    Comprende mejor con esta clase:

    0 / 500

    Opciones de selección