visualizaciones de letras 19

Karibu (feat. Mbosso)

Diamond Platnumz

Letra

    (Abbah), (ayolizer)
    Ishafika saba sasatunakungojea
    Imebaki miezi miwili tu hebu siku sogea
    Tuna shauku na bashasha ya kukupokea
    Sio mimi na mama yako tu na bibi anakuombea

    Mmmh! Imani yangu inanituma
    Unanisikia baba yoo (baba yooyoo)
    Na furaha yangu dongo kumung'unya
    Anapobugia mama yoo (mama yoo yoo)

    Mmmm!, dalili wazi wazi
    Kwa muda usha tawakal
    Natamani useme zawadi
    Ila acha ninunue vigari

    Oooh kuna shangazi
    Kibiti kwa mzee kikali
    Ukiota meno ataleta viazi
    Ule mihogo uwe ngangari
    (Ule mihogo uwe ngangari)

    Kwanza nitakupa jina gani
    Talala talala lala talala
    Kwanza karibu duniani baba
    Talala talala lala talala

    Kwetu furaha isiyo kifani
    Talala talala lala talala
    Ila kuna mengi duniani baba
    Talala talala lala talala

    Mmmh! Kwa furaha niliyonayo
    Ningechinja ng'ombe kwa tambiko
    Ila baba yako uwezo sina
    Pokea uji kwa kijiko
    Pokea mwanangu (ai yo yo)

    Tena awape na habari
    Waropokaji wapambe
    We ni wangu wa halali
    Wasije zani vya nyange

    Dunia ni mafuriko mvua kwote
    Wanadamu mioyo ya matope
    Ukitukanwa mwiko usiogope
    Jikaze mwana wa dangote

    Ooh wasimuone
    Kimasomaso wasimuone
    Wenye jicho la chuki wasimuone mwanangu
    Kimasomaso wasimuone

    Ooh, wasimuone
    Kimasomaso wasimuonе
    Wenye roho mbaya wasimuone
    Kimasomaso wasimuonе

    Sa ringisha tumbo ringa, sa baby ringa
    Waonyeshe ringa, wadolishie ringa
    Sa ringisha tumbo ringa, oh baby ringa
    Wao si wanazitoa, asa wadolishie ringa

    Kwanza nitakupa jina gani
    Talala talala lala talala
    Kwanza karibu duniani baba
    Talala talala lala talala

    Kwetu furaha isiyo kifani
    Talala talala lala talala
    Ila kuna mengi duniani baba
    Talala talala lala talala

    Ndo namnyema mwanangu (aiyoyo kwa baby shower)
    Ooh rafiki kwa ndugu zangu (aiyoyo kwa baby shower)
    Furaha na uzazi wangu (aiyoyo kwa baby shower)
    Naringa ringa na mwanangu (aiyoyo kwa baby shower)

    Aiyoyo kwa baby shower
    Aiyoyo kwa baby shower
    Aiyoyo kwa baby shower
    Aiyoyo kwa baby shower


    Comentarios

    Envía preguntas, explicaciones y curiosidades sobre la letra

    0 / 500

    Forma parte  de esta comunidad 

    Haz preguntas sobre idiomas, interactúa con más fans de Diamond Platnumz y explora más allá de las letras.

    Conoce a Letras Academy

    ¿Enviar a la central de preguntas?

    Tus preguntas podrán ser contestadas por profesores y alumnos de la plataforma.

    Comprende mejor con esta clase:

    0 / 500

    Opciones de selección