
Kuna
Diamond Platnumz
Wenzako waolewa we huolewi kwani we
Ati una hila moja huseni na majirani we
Sema na hila ya pili ukihongwa hufanani wewe
Sema na hila ya tatu midabwada kitandani we
Sema na hila ya nne mwenzetu nchafu ndani we
Kanijengee kibanda kwetu eeh eeh eeh
Kanijengee kibanda kwenu wataniua
(Kanijengee kibanda kwetu eeh eeh eeh
Kanijengee kibanda kwenu wataniua)
Kanijengee kibanda udugu wangu eeh eeh, eh
Kanijengee kibanda shoga zako wataniua
(Kanijengee kibanda kwetu eeh eeh eeh
Kanijengee kibanda kwenu wataniua)
Lalilo lilo eeh, pambe tu
Lololololo lololololo
Lali lali lali, laa lalii, lali lili lalii
Ooh oh, jani hilo, jani la mua eeh eeh, eh
Watu wote zoazoa lakini wewe umezidi
(Jani hilo, jani la mua eeh eeh, eh
Watu wote zoazoa lakini wewe umezidi)
Ooh oh, jani hilo, jani la mua eeh eeh, eh
Watu wote zoazoa lakini wewe umezidi
(Jani hilo, jani la mua eeh eeh, eh
Watu wote zoazoa lakini wewe umezidi)
Ooh oh, jani hilo, jani la mua eeh eeh, eh
Watu wote zoazoa lakini toss umezidi
(Jani hilo, jani la mua eeh eeh, eh
Watu wote zoazoa lakini wewe umezidi)
Ooh oh, jani hilo, jani la mua eeh eeh, eh
Watu wote wachepuka lakini lizer umezidi
Acha nicheze mie
(Na watu wangu jangwani nalia)
Oh acha niringe mia
(Na watu wangu jangwani nalia)
Aah, aah, aah acha nicheze mie
(Na watu wangu jangwani nalia)
Acha nijishaue shaue
(Na watu wangu jangwani nalia)
Ooh lolilo lilo eeh
Kuntu, mambo hayo
Alolololo lolo loloo
Aah eeh mama mwanangu ooh
(Mama mwanangu ooh)
Aah mama mwanangu ooh
(Mama mwanangu ooh)
Waniacha nasaga mpunga we, mbona sijijui
Waniacha nasaga mpunga we, mbona sijijui
Waniacha napinda mgongo we, mbona usiniambie
Aah waniacha napinda mgongo we, mbona usiniambie
Jamani mi naumwa eeh eeh eeh naumwa
Naumwa ooh, ooh oh, naumwa aah, naumwa
Naumwa kijipu upele we, naumwa huniambii pole
(Naumwa eeh eeh, eh, naumwa
Naumwa ooh, ooh oh, naumwa aah, naumwa
Naumwa kijipu upele we, naumwa huniambii pole)
Jamani mi naumwa eeh eeh eeh, naumwa
Naumwa ooh, ooh oh, naumwa aah, naumwa
Naumwa kijipu upele we, naumwa huniambii pole
(Naumwa eeh eeh, eh, naumwa
Naumwa ooh, ooh oh, naumwa aah naumwa
Naumwa kijipu upele we, naumwa huniambii pole)
Naumwa kijipu upele jama, naumwa huniambii pole
Oyaa mwafulani wee (khaa)
Ooh mwafulani usitukane dangaji nakuambia aah
Huo udangaji kaunaza dadayo kuutumia
Ukiona mwana wa mwenzio budege
(Na wako vilevile, na wako vilevile)
Aah, aah ukiona mwana wa mawenzio mchele
(Na wako vilevile, na wako vilevile)
Ukiona mwana wa mwenzio shangingi
(Na wako vilevile, na wako vilevile)
(Aah lilo lilo eeh, tamu)
Nipeni barua yangu (niisome)
Nipeni barua yangu (niisome)
Nipeni barua yangu (niisome)
Jamani barua yangu (niisome)
Nipeni barua yangu (niisome)
Naitaka barua yangu (niisome)
Barua jama barua eeh (niisome)
Barua jama barua eeh (niisome)
Barua ya bwana ndani eeh (niisome)
Barua jama barua eeh (niisome)
Barua ya bibi ndani eeh (niisome)
Barua ifike vyema eeh (niisome)
Barua mama barua aah eheeh, eh, eh
Ooh nyie wana dar es salama embu acheni umbumbumbu
Nyie wana dar es salama embu acheni umbumbumbu
Shariti ni kuinama ukitaka cha uvungu
Asa mbona wapata bwana halafu humpi?
Naombeni barua yangu (niisome)
Naitaka barua yangu (niisome)
Niisome barua yangu (niisome)
Barua jama barua eeh (niisome)
Aah eehh
Jamani kuna kijiti kimoja kwa jina sitokitaja
Ukiona chasimama ujue chataka haja
Ukiona kimelala kisha cghafua mapaja
Jamani wewe
Nipeni barua yangu (niisome)
Naitaka barua yangu (niisome)
Nipeni barua yangu (niisome)
Barua jama barua eeh (niisome)
Barua ya mwana ndani eeh (niisome)
Barua jama bahaba eeh (niisome)
Naitaka barua yangu (niisome)
Niisome barua yangu (niisome)
Barua jama bahaba (niisome)
Mahaba jama ya muhiba (niisome)
Aah eehh
Jamani kuna mama kuna (kuna)
Kuna mama kuna (kuna)
Kuna nazi kuna (kuna)
Kuna mama kuna (kuna)
Kuna kinyume nyume (kuna)
Kuna kinyume nyume (kuna)
Kuna kimbele mbele (kuna)
Kuna kati kwa kati (kuna)
Kuna kinyume nyume (kuna)
Hasa ku ku kuku, kukuku ku ku kuku kuku
Eeh ku, eeh ku, eeh ku, ku ku ku ku
Jamani kampata sharubaro jama kampeleka nyumbani
Muda wa kumpa mambo kamvalia miwani
Kule hakupaona kafanya kwa pajani
Jamani kuna sasa kuna (kuna)
Kuna embu kuna (kuna)
Kuna mama kuna (kuna)
Kuna dada kuna (kuna)
Ricardo momo kuna (kuna)
Esma twende kuna (kuna)
Ooh udangaji udangaji jama ni habari ya mujini
Wenzako wapewa nyumba kwa magari ya injini
Hivi we dangaji gani hadi leo walala chini
Ngoja embu kwanza kuna (kuna)
Jifunze kukuna (kuna)
Kwa kushoto kuna (kuna)
Kwa kulia kuna (kuna)
Haya ku ku kuku, kukuku ku ku kuku kuku
Eeeh ku, eeh ku, eeh ku, ku ku ku
Aah eehh
Aah, aah, aah, aah
Ooh utaniweza wapi utundu nimeanza zamani mie
(Utaniweza wapi utundu nimeanza zamani mie)
Ooh utaniweza wapi kuchepuka nimeanza zamani mie
(Utaniweza wapi utundu nimeanza zamani mie)
Ooh utaniweza wapi madanga nimeanza kitambo mie
(Utaniweza wapi utundu niemeanza zamani mie)
Ooh utaniweza wapi mjini napajua kitambo mie
(Utaniweza wapi utundu nimeanza zamani mie)
Hasa nataka dodoa (haya dodoa)
Nataka katika (haya katika)
Jama najojoa (haya jojoa)
Hamu yanishika (haya dodoa)
Ooh nataka dodoa (haya dodoa)
Eeh nataka katika (haya katika)
Jaama najojoa (haya jojoa)
Hamu yanishika (haya dodoa)
Mama nataka nilewe
(Ngoja nilewe nikishaanguka pombe utakunywa wewe)
Ooh jama nataka nilewe eh
(Ngoja nilewe nikishaanguka pombe utakunywa wewe)
Aah hasa nataka dodoa (haya dodoa)
Jamani nataka katika (haya katika)
Aah jama najojoa (haya jojoa)
Hamu yanishika (haya dodoa)
Naataka dodoa (haya dodoa)
Jama nakatika (haya katika)
Ona najojoa (haya jojoa)
Hamu yanishika (haya dodoa)
Pambee eeh
Eeeh huo mnazi (unakatika)
Mnazi (unakatika)
Jamani mnazi (unakatika)
Ooh, mmazi (unakatika)
Ukitaka kukatika hukatika
Kati kati kati kati
Kaa



Comentarios
Envía preguntas, explicaciones y curiosidades sobre la letra
Forma parte de esta comunidad
Haz preguntas sobre idiomas, interactúa con más fans de Diamond Platnumz y explora más allá de las letras.
Conoce a Letras AcademyRevisa nuestra guía de uso para hacer comentarios.
¿Enviar a la central de preguntas?
Tus preguntas podrán ser contestadas por profesores y alumnos de la plataforma.
Comprende mejor con esta clase: