Suscríbete

Magufuli Baba Lao

Diamond Platnumz

Letra

    (It's S2kizzy beiby)
    (Ayolizer)

    Magufuli baba lao (baba lao)
    Joseph baba lao (baba lao)
    John Pombe baba lao (baba lao)
    Magu baba lao (baba lao)

    Eeeh Ma Samia mama lao (mama lao)
    Majaliwa baba lao (baba lao)
    Bashiru baba lao (baba lao)
    CCM chama lao

    Kona kwa kona, chocho tuchocho
    Kwa wakubwa mpaka watoto
    Magu anazidi pamba moto
    Wapinzani matumbo joto

    Mmechoka eti? (Aah wapi)
    Mnataka lala? (Aah wapi)
    Wapinznai watatuzidi? (Aah wapi)
    Wataweza huu muziki? (Aah wapi)

    Sasa twende kisa mjini sambamba
    Magu anazidi bamba
    Anafufua na viwanda
    Ndege zetu tunapanda

    Wataweza kweli? (Aah wapi)
    Kushindana nasi (aah wapi)
    Hata wakiungana (aah wapi)
    Matusi kututukana (aah wapi)

    Magufuli baba lao (baba lao)
    Joseph baba lao (baba lao)
    John Pombe baba lao (baba lao)
    Magu baba lao (baba lao)

    Eeeh Ma Samia mama lao (mama lao)
    Olepole baba lao (baba lao)
    Mzee Mangula baba lao (baba lao)
    CCM chama lao

    Majib Selema
    Hadija Selema (selema)
    Wananchi wamesema
    Tunashinda tena (eeh tena)

    Wanadhani kura mseleleko
    Eeeh tunawakwepa
    Watabaki masononeko
    Eeeh tunawacheka

    Kwanza kunja gaju (eeh kunja gaju)
    Nikupe mikakati (eeh mikakati)
    Ameleta mwendo kasi
    Barabara juu na kati

    Eeh shule za kata (ni bure)
    Sekondari (ni bure)
    Hospitali (ni bure)
    Kwa wazee (ni bure)

    Sisi twashinda tena
    Sisi CCM twashinda tena eeh
    Magu anashinda tena
    Magu Magu anashinda tena eeh

    Samia anashinda tena
    Mama Samia anashinda tena
    Sisi twashinda tena
    Sisi CCM twashinda tena eeh

    Magufuli baba lao (baba lao)
    Joseph baba lao (baba lao)
    John Pombe baba lao (baba lao)
    Magu baba lao (baba lao)

    Eeeh Makonda baba lao (mama lao)
    Eri James baba lao (baba lao)
    Juma Mabogi baba lao (baba lao)
    CCM chama lao

    Mzuka ukipanda
    Na hili shati navua (acha uongo)
    Mzuka ukipanda
    Na hili bukta navua (acha uongo)

    Jamani navua (acha uongo)
    Mama navua (acha uongo)
    Mwenzenu navua (acha uongo)
    Eeeh kuna basata

    Basi napiga Yope (huwezi)
    Ooh napiga Yope (huwezi)
    Magu napiga Yope (huwezi)
    Ma Samia napiga Yope (huwezi)

    Eeh, eeh, eeh, eeh, eeh
    Eh, eh, eh, eh, eh, eeh

    Wabunge napiga Yope (huwezi)
    Madiwani napiga Yope (huwezi)
    Wajumbe napiga Yope (huwezi)
    Wenyekiti napiga Yope (huwezi)

    Eeh, eeh, eeh, eeh, eeh
    Eh, eh, eh, eh, eh, eeh


    Comentarios

    Envía preguntas, explicaciones y curiosidades sobre la letra

    0 / 500

    Forma parte  de esta comunidad 

    Haz preguntas sobre idiomas, interactúa con más fans de Diamond Platnumz y explora más allá de las letras.

    Conoce a Letras Academy

    ¿Enviar a la central de preguntas?

    Tus preguntas podrán ser contestadas por profesores y alumnos de la plataforma.

    Comprende mejor con esta clase:

    0 / 500

    Opciones de selección