visualizaciones de letras 5
Letra

    Wanasemaga mapenzi safari
    Unavyopita ndo jinsi unajongea
    Ila niendako ni mbali sijui ka ntafika sababu natembea
    Niliposikiaga Habari, yakisifika nikakesha nangojea
    Akabariki Jalali na nikawika muziki nikauotea
    Ile pruu mpaka Macca
    Nikadandiaga Bongo movie
    Kumbe mapenzi hayataki haraka
    Ni kama tango natia tu chumvi
    Mwenzenu nikaoza haswa
    Na kujitia kitandani mjuzi
    Eti nataka fukuza paka
    Badala ya mbwa nikafuga mbuzi (hmm)
    Wivu ukanifanya nikagombana na marafiki
    Ugomvi na mamangu akiniambia siambiliki

    Moyo ukanambia Nasibu sasa mapenzi basi
    Ila nang'ang'ania najaribu kuipinga nafsi
    Esma ananiambia mdogo wangu mapenzi basi
    Ila nang'ang'ania nikiumizwa na huyu kesho nna mwingine

    Ooh mbona sikomi
    Sikomi
    Sikomi, licha ya mateso haya (najiuliza)
    Oh sikomi (oh sikomi mbona)
    Sikomi (mbona jamani)
    Sikomi, licha ya mateso haya, hmm

    Aliyonifanyia wa central haki ya mungu siyawezi sema
    Ila nimejifunza kesho nisiwaamini wacheza sinema
    Moyo walinipatia mateso siwezi kumeza siwezi tema
    Ndio maana sikushanga ile ghafla toka CCM kwenda CHADEMA
    Wanasema kitanda ukitandika sharti ukilalie
    Nikajitia ukamanda yatakwisha wacha nivumilie
    Kila kiza kikitanda, ndo visa machozi me nilie
    Penzi yakatia parapanda, kuwaita waje washambulie
    Aah acha na Penny we darling
    Nilio muhongaga gari aliponambia Ana mimba
    Mwisho wa siku akaichomoa chali
    Mola akanitunuku Zari, akanzalia dume na mwali
    Niliyvo mjinga nikacheat aibu mpaka kwa vyombo vya habari

    Moyo ukanambia Nasibu sasa mapenzi basi
    Ila nang'ang'ania najaribu kuipinga nafsi
    Esma ananiambia mdogo wangu mapenzi basi
    Ila nang'ang'ania nikiumizwa na huyu kesho nna mwingine

    Ooh mbona sikomi (mbona)
    Sikomi (mbona jamani)
    Sikomi, licha ya mateso haya
    Eh Nishafumania (oh sikomi)
    Nikafumaniwa mimi (sikomi)
    Nishagombana na watu (sikomi)


    Comentarios

    Envía preguntas, explicaciones y curiosidades sobre la letra

    0 / 500

    Forma parte  de esta comunidad 

    Haz preguntas sobre idiomas, interactúa con más fans de Diamond Platnumz y explora más allá de las letras.

    Conoce a Letras Academy

    ¿Enviar a la central de preguntas?

    Tus preguntas podrán ser contestadas por profesores y alumnos de la plataforma.

    Comprende mejor con esta clase:

    0 / 500

    Opciones de selección