visualizaciones de letras 2

One Night Stand (feat. Harmonize)

Ibraah

Letra

    Ooh oh
    (It's Bonga)
    Lalalala
    Aiyete iyee
    Konde Boy

    Mi baba yangu sio Magufuli
    Ama Kenyatta wa Kenya
    Nikudanganye Mugabe
    Ni uongo sio sawa

    Hata nyota yangu mi ni ya sufuri
    Sio wa kupata tena
    Kula yangu tuma zabe
    Sina mchongo kama chawa

    What I believe, what I believe
    No money, no love
    Yupo ulompaga moyo
    Akaugawa vipande

    Nimeumbwa na wivu
    Mi na wivu moyo wangu sio mbovu
    Hakuwaga mchoyo
    Kutwa miguru upande

    Kwanza mapenzi yamezaliwa Bombay
    Masonge kwenye majani (ayee eh)
    Utaweza mwana wa bonde
    Amemshinda sharukani (ayee eh)

    Agiza nyama na pombe
    Ah tulewe twende chumbani (ayee eh)
    Nikupe mhogo wa jang'ombe
    Kisigino kiwe begani

    Baby all I need mi siwezagi kuzunguka
    One night, eeh
    One night, one night stand
    Yaani nipe nikupe kabla hakujapambazuka
    One night, eeh
    One night, one night stand

    (Konde Boy)
    Siku hizi kupenda penda kumepitwa na muda
    One night
    One night, one night stand
    Yaani akikupa kula akisusa mwingine atakuja
    One night
    One night, one night stand

    Usijidanganye umemkamata
    Mtoto wa mjini
    Magoli mengi Samata
    Hata uzame chumvini

    Ila kuna wazee wa Migodi
    Hawagongagi hodi
    Ujifanye mjanja unachunga
    Ila ndo wanalipa kodi

    Utadanganya anaenda jogging
    Kumbe yuko lodging
    Mwenzako anajaza mimba
    Uko gym unajaza body

    What I believe, what I believe
    No money, no love
    Yupo ulompaga moyo
    Akaugawa vipande

    Nimeumbwa na wivu
    Mi na wivu moyo wangu sio mbovu
    Hakuwaga mchoyo
    Ah, kutwa miguru upande

    Kwanza mapenzi yamezaliwa Bombay
    Masonge kwenye majani (ayee eh)
    Utaweza mwana wa bonde
    Amemshinda sharukani (ayee eh)

    Sio unakunywa tu mapombe
    Unajua anayelipa nani? (Ayee eh)
    Twende nkakupe guu la ng'ombe
    Ukaugulie nyumbani chii

    Baby all I need mi siwezagi kuzunguka
    One night
    One night, one night stand
    Yaani nipe nikupe kabla hakujapambazuka
    One night, one night, one night stand

    Siku hizi kupenda penda kumepitwa na muda
    One night
    One night, one night stand
    Yaani akikupa kula akisusa mwingine atakuja
    One night
    One night, one night stand

    Asa beiby nipe (nipe nikupe)
    Acha za kung'ata makucha (nipe nikupe)
    Mara unapandisha unashusha (nipe nikupe)
    Mida inakwenda (nipe nikupe, tumalizane leo leo)

    Eh mbuzi kafa kwa bucha (nipe nikupe)
    Mbona saa unayeyusha (nipe nikupe)
    Ukichelewa nitasusa (nipe nikupe)
    Hebu sogea kwa chamber (nipe nikupe, tumalizane leo leo)


    Comentarios

    Envía preguntas, explicaciones y curiosidades sobre la letra

    0 / 500

    Forma parte  de esta comunidad 

    Haz preguntas sobre idiomas, interactúa con más fans de Ibraah y explora más allá de las letras.

    Conoce a Letras Academy

    ¿Enviar a la central de preguntas?

    Tus preguntas podrán ser contestadas por profesores y alumnos de la plataforma.

    Comprende mejor con esta clase:

    0 / 500

    Opciones de selección