Suscríbete
Letra

    Kulia sio mapenzi
    Kuwishi siku zirudi nyuma
    Ubadilishe ulipo kosea
    Sio mapenzi, mapenzi ni kupedana
    Kati ya watu wawili

    Moyo Koma katika jina la Yesu
    Kumbuka venye alikufanyia matharao
    Koma kumumis, yeye hakumis
    Koma kumtaka aje kwako, yeye hakutaki kwake
    Koma kumfikiria kila siku, yeye hakufikiriagi
    Koma kumpeda, yeye hakupedi
    Koma kumwagalia kwa social media
    Yeye hakuagaliagi, hana haja na wewe
    Koma na ukome kabisa
    Sahau na yeye, inauma sana
    Lakini lazima ukubali hivyio ndivyio
    Kuko na kutakuwa hivyio
    Hii ni maisha

    Kumpigania sio mapenzi
    Kuhuzunika sio mapenzi
    Kumumis sio mapenzi
    Ukimtaka na yeye akukatae, sio mapenzi

    Moyo Koma katika jina la Yesu
    Kumbuka venye alikufanyia matharao
    Koma kumumis, yeye hakumis
    Koma kumtaka aje kwako, yeye hakutaki kwake
    Koma kumfikiria kila siku, yeye hakufikiriagi
    Koma kumpeda, yeye hakupedi
    Koma kumwagalia kwa social media
    Yeye hakuagaliagi, hana haja na wewe
    Koma na ukome kabisa
    Sahau na yeye, inauma sana
    Lakini lazima ukubali hivyio ndivyio
    Kuko na kutakuwa hivyio
    Hii ni maisha

    Hata baada ya hayo yote
    Umekata kumove, on my friend, it’s over now
    Kubali, ona kichwa imechoka kumfikiria
    Miguu ilichoka kumtembelea kila weekend
    Macho haitaki ata kuniona tena
    Mikono ilichoka kumsalimia
    Feelings zake zilikufa kitambo
    Simu ilikata kutumika vibaya kumtumia message
    Kumpigia, kumtumia pesa na credit
    Mdomo imefuugika kabisa
    Imekataa kuogea na yeye
    Moyo wacha kulia, utapata mwingine
    Unchungu wa leo ni kesho mambo poa
    Ukiachuwa, kubali kuwachika
    Ukikataliwa, wewe pia uwakatae
    Usilazimishe
    Sitakuacha, nitasimama na wewe
    Kama ulivyio simama na mimi
    Nikipitia magumu ya maisha
    Nimekuahidi baby moyo wangu

    Moyo Koma katika jina la Yesu
    Kumbuka venye alikufanyia matharao
    Koma kumumis, yeye hakumis
    Koma kumtaka aje kwako, yeye hakutaki kwake
    Koma kumfikiria kila siku, yeye hakufikiriagi
    Koma kumpeda, yeye hakupedi
    Koma kumwagalia kwa social media
    Yeye hakuagaliagi, hana haja na wewe
    Koma na ukome kabisa
    Sahau na yeye, inauma sana
    Lakini lazima ukubali hivyio ndivyio
    Kuko na kutakuwa hivyio
    Hii ni maisha


    Comentarios

    Envía preguntas, explicaciones y curiosidades sobre la letra

    0 / 500

    Forma parte  de esta comunidad 

    Haz preguntas sobre idiomas, interactúa con más fans de KingsMainaMSsteve y explora más allá de las letras.

    Conoce a Letras Academy

    ¿Enviar a la central de preguntas?

    Tus preguntas podrán ser contestadas por profesores y alumnos de la plataforma.

    Comprende mejor con esta clase:

    0 / 500

    Opciones de selección