visualizaciones de letras 1
Letra

    Faraja nakutafuta hauonekani?
    Mawazo yananitinga moyo unauma faraja ooh!
    Uniondoe upwekee, usiniache peke
    Dunia imenitupa ndungu wamenitupa ooh!
    Pesa hakuna, chakula hakuna
    Matatizo makubwa, upweke umenikumba
    Pesa hakuna, chakula hakuna
    Matatizo makubwa, upweke, upweke, upweke eeh!

    Faraja nakuita faraja, uko wapi faraja ooh!
    Mawazo yanauwa faraja, nakuhitaji faraja ooh!
    Faraja nakuita faraja, ukidhi yangu haja
    Dunia inanichanganya, natafuta faraja ooh!

    Wapo wengi sana, wakuhitaji faraja
    Unikumbuke sana, nami ni wa mmoja
    Ukifika kwangu, ukae mwaka mmoja
    Tutembee pamoja, nitambe nawe faraja
    Lakini ukija leo na uondoke keshoo
    Utaniachia mawazo kichwani tele mawazo
    Pindi mimi sina pesa, wengine wanatesa
    Ninapokua nawaza uwa uwa nakuhitaji faraja ooh!

    Faraja nakuita faraja, uko wapi faraja ooh!
    Mawazo yanauwa faraja, nakuhitaji faraja ooh!
    Faraja nakuita faraja, ukidhi yangu haja
    Dunia inanichanganya, natafuta faraja ooh!

    Nimezalishwa mwana, baba sijamuona
    Nyumba niliyopanga karibu ninafukuzwa
    Nimeshauza nyanya, maandazi hata karanga
    Faida sikupata, sasa nafa na njaa
    Ona barabarani wanavyo omba omba
    Nenda kwao faraja, wanakuita faraja
    Alau uje sasa ukae nami faraja
    Mpaka lini mola maisha haya mabaya ooh!

    Faraja nakuita faraja, uko wapi faraja ooh!
    Mawazo yanauwa faraja, nakuhitaji faraja ooh!
    Faraja nakuita faraja, ukidhi yangu haja
    Dunia inanichanganya, natafuta faraja ooh!

    Comentarios

    Envía preguntas, explicaciones y curiosidades sobre la letra

    0 / 500

    Forma parte  de esta comunidad 

    Haz preguntas sobre idiomas, interactúa con más fans de Lady Jaydee y explora más allá de las letras.

    Conoce a Letras Academy

    ¿Enviar a la central de preguntas?

    Tus preguntas podrán ser contestadas por profesores y alumnos de la plataforma.

    Comprende mejor con esta clase:

    0 / 500

    Opciones de selección