Letra

    Yeah
    Jaydee
    Woah, woah
    Mm-mh

    Ilikuwa mi nakuletea maringo
    Nayo majivuno niliweka mbele
    Sikuona umuhimu wako
    Nilihisi kelele
    Ulipo sema, unanipenda
    Mi nilipuuza
    Ulipo amua, kuondoka
    Nikaanza tapatapa, ooh
    Nimechelewa
    Huwezi kurudi tena
    Nashindwa hata kuelewa
    Nahitaji kueleweshwa
    Ooh, ooh
    Ooh, my baby

    Sasa naona (hey, hey)
    Umuhimu wako (ooh, ooh)
    Wakati wewe 'uko mbali, mbali nami
    Nakumbuka maneno yako
    Natamani wewe ungekuwa nami
    Sasa naona
    Umuhimu wako (ooh, ooh)
    Wakati wewe uko mbali, mbali nami
    Nakumbuka maneno yako (kabisa)
    Natamani wewe ungekuwa nami

    Wasikia kilio changu, 'mbona u kimya?
    Sitarudia vituko, nitakuwa wako
    Nahitaji msamaha wako
    Unisamehe
    Ooh
    Nisamehe, unisamehe
    Kwanini wewe umeondoka?
    Mwenzio nina tapatapa
    Ooh
    Nimechelewa
    Huwezi kurudi tena
    Nashindwa hata kuelewa
    Nahitaji kueleweshwa
    Ooh, ooh
    Yeah, ay, yeah, yeah

    Sasa naona (naona)
    Umuhimu wako
    Wakati wewe 'uko mbali, mbali nami (u mbali nami)
    Nakumbuka maneno yako
    Natamani wewe ungekuwa nami
    Sasa naona (naona sasa)
    Umuhimu wako
    Wakati wewe uko mbali, mbali nami
    Nakumbuka maneno yako (nakumbuka)
    Natamani wewe ungekuwa nami

    Ripoti hii ifike kwanza kwa dingi mpaka matheri (mpaka matheri)
    (?) simu vingine mpenzi havina chaji (havina chaji)
    Wanakuzuga navyo ili mradi wapate wanacho hitaji (uh)
    Hao ni waongo wenye hila, washazoea ubakaji (mama yangu)
    Nili-mind sana kuishi nawe, si uongo
    Kamwe siwezi kutanga, ni escape wadudu (eh-enhe)
    Marafiki ndio wamekuponza, waongo, hawafai hata kwa chungu (poa)
    Uliwaona wanacheka, zile ni njama za kukuteka
    Kimawazo hata kifikra
    Na sio wakukaribiana nao, waogope kama ukoma (kama ukoma)
    Kwa maana hao jamaa wanafiki, hawafai (poa)
    Wao wana wanacho taka (poa) kutugombanisha tu (poa)
    Nini kinakutatiza ushindwe kupiga hata stori (eh-enhe)
    Nilikuambia nakupenda mtoto sogea karibu nami (poa)
    Kukumbuka kuwaepuka majirani zako, watani
    Walio zoea kuvuruga makochi ya watu, hata wazima (hata wazima)

    Sasa naona (yeah, yeah)
    Umuhimu wako (ooh, ooh)
    Wakati wewe 'uko mbali, mbali nami (uko mbali)
    Nakumbuka (nakumbuka)
    Maneno yako (oh, oh)
    Natamani wewe ungekuwa nami (oh, woah, woah, woah, woah)
    Sasa naona
    Umuhimu wako (umuhimu wako)
    Wakati wewe uko mbali, mbali nami
    Nakumbuka maneno yako (umekwenda)
    Natamani (umekwenda)
    Wewe ungekuwa nami
    Sasa naona (woo!)
    Umuhimu wako
    (Yeah)
    Wakati wewe (wewe, wewe)
    Wakati wewe 'uko mbali, mbali nami (mbali, mbali, mbali)
    Nakumbuka
    Maneno yako
    Natamani wewe ungekuwa nami (yeah)
    Sasa naona (oh)
    Umuhimu wako (oh, baby, baby, baby)
    Wakati wewe uko mbali, mbali nami
    (Oh, oh)
    Nakumbuka maneno yako (ooh, oh)
    Natamani
    (Natamani sana wewe ungekuwa nami)


    Comentarios

    Envía preguntas, explicaciones y curiosidades sobre la letra

    0 / 500

    Forma parte  de esta comunidad 

    Haz preguntas sobre idiomas, interactúa con más fans de Lady Jaydee y explora más allá de las letras.

    Conoce a Letras Academy

    ¿Enviar a la central de preguntas?

    Tus preguntas podrán ser contestadas por profesores y alumnos de la plataforma.

    Comprende mejor con esta clase:

    0 / 500

    Opciones de selección