Suscríbete

Fuliza (feat. Dreamboy)

Leteipa the King

Letra

    Nilikutunza kama mboni
    Kama walenje mfukoni
    Nilikupenda sana Wewe, Kisha ukaniacha mwenyewe
    Kidonda changu hakiponi
    Nakutafuta sikuoni
    Kumbe ulibebwa na mwewe, ukaniachia kiwewe
    Na kale kamia
    Ulinitupia
    Sijakatumia bado nakaangalia
    Nikifikiria vile ulinichukulia
    Kama sufuria ama kama ligunia
    Nilikupa kila kitu, vya nje mpaka vya ndani
    Nawe ukanipa jipu, kupona Mi sidhani
    Ni kweli nahisi wivu, kukuona kwa Fulani
    Penzi lishakuwa jivu, kuni ziliisha zamani

    (Nine choke kuwa nawe,) my confidence
    (Nawe) my self esteem
    (Nawe) my holyness
    (Nawe) my future dream
    (Nawe) my only space
    (Nawe) my golden blings
    (Nawe) zote umezifuliza
    (Nimechoka kuwa Nawe) nirudishie ring yangu
    (Nawe) hata kambuzi ketu kana kidole
    (Nawe) bora nidate simu tangu
    (Nawe) itanitreat better nipone

    Nilikuenzi ka Kiba kwa Cinderella
    Nikakupa penzi, kumbe ulichojali ni hell
    Nikuhonge Benz, magari ka ya telenovela
    Na sina Centi kapuku kama mfungwa jela
    Ila moyo wangu Nilikupa uniwekee
    Ukaondoka na kuniachia upweke
    Heartbroken moyoni Mi niteseke
    Huku na kule Beshte zako wanicheke

    Na kale kamia
    Ulinitupia
    Sijakatumia bado nakaangalia
    Nikifikiria vile ulinichukulia
    Kama sufuria ama kama ligunia

    (Nine choke kuwa nawe) my confidence
    (Nawe) my self esteem
    (Nawe) my holyness
    (Nawe) my future dream
    (Nawe) my only space
    (Nawe) my golden blings
    (Nawe) zote umezifuliza
    (Nimechoka kuwa Nawe) nirudishie ring yangu
    (Nawe) hata kambuzi ketu kana kidole
    (Nawe) bora nidate simu tangu
    (Nawe) itanitreat better nipone
    (Nimechoka kuwa nawe) kweli Haya ni mapenzi ama uhusiano wa kibiashara
    (Nawe) kila mwisho wa mwezi nikupe tayari kukupa mshahara
    (Nawe) nimechoka siezi tazama mwenzako nilivyoparata
    (Nawe) miaka yangu Ni michache lakini tayari nishatoka kipara


    Comentarios

    Envía preguntas, explicaciones y curiosidades sobre la letra

    0 / 500

    Forma parte  de esta comunidad 

    Haz preguntas sobre idiomas, interactúa con más fans de Leteipa the King y explora más allá de las letras.

    Conoce a Letras Academy

    ¿Enviar a la central de preguntas?

    Tus preguntas podrán ser contestadas por profesores y alumnos de la plataforma.

    Comprende mejor con esta clase:

    0 / 500

    Opciones de selección