Suscríbete

Propellar (feat. Demmaquizzo)

Leteipa the King

Letra

    Ni Vampk
    Iyeeyeiyeeaah, 254

    Unanigusa maini ukiinama
    Joto linapanda mbona nachomeka
    Iyeeh
    Ukizungusha mashini sifai mama
    Kopo linajaza donda watonesha
    Mi ndo shati we ndo tai
    (Huuh! Huuh!)
    Osha nikuchafulie
    Mi sukari we ndo chai
    (Huuh! Huuh!)
    Ntaonja unipakulie
    Na umeniweza
    Unavyopendeza, yangu makengeza babe
    Na unavyocheza
    Ukijilegeza ntakutendereza lady
    Si uko fine, unavyowine
    Unanitease na skills zako divine
    Ladha ya wine, njoo nikumine
    Unifilis na bills zako simind

    (Propellar)
    Uuih
    (Propellar)
    Tingisha kiuno kipropellar
    (Propellar) eeh
    Iyeeh
    Tingisha kiuno kipropellar
    (Propellar)
    (Propellar)
    (Propellar)
    (Propellar)
    (Propellar)

    Chiii! Kwanza katoto kiuno, uno uno
    Kanakatika miuno, uno (eeh)
    Nishike kwa juu mama humo humo humo
    Pepeta ukiwa huko, huko, huko
    Mhh
    Laiti kama ungelijua we ndo wangu dua
    Umenishika kwa chini
    Yaani mpaka nazuzua
    Yaani popo eeh poporipo
    Nishike kwa chini hadi kokoriko
    Mtoto jojo Ana doido
    Kashingo kembamba ni poporipo
    Kwanza fanya unainama
    (Sare sare)
    Maua sama
    Zungusha body mama kaitaba
    (Sare sare)
    Asa ma kiuno kata
    Unafanya mizuka inapanda
    (Sare sare)
    Chekecha ninakuapia
    Unapiga miuno kisamantha
    (Sare sare)
    Hadi mimi ninajifia

    (Propellar)
    (Propellar)
    Tingisha kiuno kipropellar
    (Propellar) eeh
    Iyeeh
    Tingisha kiuno kipropellar
    (Propellar)

    Yeiyeiyeeh
    Ni Vampk
    Iyeeyeiyeeah, 254

    Unanigusa maini ukiinama
    Joto linapanda mbona nachomeka
    Iyeeh
    Ukizungusha mashini sifai mama
    Kopo linajaza donda watonesha
    Mi ndo shati we ndo tai
    (Huuh! Huuh!)
    Osha nikuchafulie
    Mi sukari we ndo chai
    (Huuh! Huuh!)
    Ntaonja unipakulie
    Na umeniweza
    Unavyopendeza, yangu makengeza babe
    Na unavyocheza
    Ukijilegeza ntakutendereza lady
    Si uko fine, unavyowine
    Unanitease na skills zako divine
    Ladha ya wine, njoo nikumine
    Unifilis na bills zako simind

    (Propellar)
    Uuiih
    (Propellar)
    Tingisha kiuno kipropellar
    (Propellar) eeh
    Iyeeeh
    Tingisha kiuno kipropellar
    (Propellar)
    (Propellar)
    (Propellar)
    (Propellar)
    (Propellar)

    Chii! Kwanza katoto kiuno, uno uno
    Kanakatika miuno, uno (eeh)
    Nishike kwa juu mama humo humo humo
    Pepeta ukiwa huko, huko, huko
    Mhh
    Laiti kama ungelijua we ndo wangu dua
    Umenishika kwa chini
    Yaani mpaka nazuzua
    Yaani popo eeh poporipo
    Nishike kwa chini hadi kokoriko
    Mtoto jojo Ana doido
    Kashingo kembamba ni poporipo
    Kwanza fanya unainama
    (Sare sare)
    Maua sama
    Zungusha body mama kaitaba
    (Sare sare)
    Asa ma kiuno kata
    Unafanya mizuka inapanda
    (Sare sare)
    Chekecha ninakuapia
    Unapiga miuno kisamantha
    (Sare sare)
    Hadi mimi ninajifia

    (Propellar)
    (Propellar)
    Tingisha kiuno kipropellar
    (Propellar) eeh
    Iyeeeh
    Tingisha kiuno kipropellar
    (Propellar)

    Yeiyeiyeeh
    Ni Vampk
    Iyeeyeiyeeaah 254

    Unanigusa maini ukiinama
    Joto linapanda mbona nachomeka
    Iyeeh
    Ukizungusha mashini sifai mama
    Kopo linajaza donda watonesha
    Mi ndo shati we ndo tai
    (Huuh! Huuh!)
    Osha nikuchafulie
    Mi sukari we ndo chai
    (Huuh! Huuh!)
    Ntaonja unipakulie
    Na umeniweza
    Unavyopendeza, yangu makengeza babe
    Na unavyocheza
    Ukijilegeza ntakutendereza lady
    Si uko fine, unavyowine
    Unanitease na skills zako divine
    Ladha ya wine, njoo nikumine
    Unifilis na bills zako simind

    (Propellar)
    Uuiih
    (Propellar)
    Tingisha kiuno kipropellar
    (Propellar) eeeeh
    Iyeeeh
    Tingisha kiuno kipropellar
    (Propellar)
    (Propellar)
    (Propellar)
    (Propellar)
    (Propellar)

    Chii! Kwanza katoto kiuno, uno uno
    Kanakatika miuno, uno (eeh)
    Nishike kwa juu mama humo humo humo
    Pepeta ukiwa huko, huko, huko
    Mhh
    Laiti kama ungelijua we ndo wangu dua
    Umenishika kwa chini
    Yaani mpaka nazuzua
    Yaani popo eeh poporipo
    Nishike kwa chini hadi kokoriko
    Mtoto jojo Ana doido
    Kashingo kembamba ni poporipo
    Kwanza fanya unainama
    (Sare sare)
    Maua sama
    Zungusha body mama kaitaba
    (Sare sare)
    Asa ma kiuno kata
    Unafanya mizuka inapanda
    (Sare sare)
    Chekecha ninakuapia
    Unapiga miuno kisamantha
    (Sare sare)
    Hadi mimi ninajifia

    (Propellar)
    (Propellar)
    Tingisha kiuno kipropellar
    (Propellar) eeeeh
    Iyeeeh
    Tingisha kiuno kipropellar
    (Propellar)

    Yeiyeiyeeh
    Ni Vampk
    Iyeeyeiyeeaah 254

    Unanigusa maini ukiinama
    Joto linapanda mbona nachomeka
    Iyeeeh
    Ukizungusha mashini sifai mama
    Kopo linajaza donda watonesha
    Mi ndo shati we ndo tai
    (Huuuh! Huuuh!)
    Osha nikuchafulie
    Mi sukari we ndo chai
    (Huuuh! Huuuh!)
    Ntaonja unipakulie
    Na umeniweza
    Unavyopendeza, yangu makengeza babe
    Na unavyocheza
    Ukijilegeza ntakutendereza lady
    Si uko fine, unavyowine
    Unanitease na skills zako divine
    Ladha ya wine, njoo nikumine
    Unifilis na bills zako simind

    (Propellar)
    Uuiih
    (Propellar)
    Tingisha kiuno kipropellar
    (Propellar) eeeeh
    Iyeeeh
    Tingisha kiuno kipropellar
    (Propellar)
    (Propellar)
    (Propellar)
    (Propellar)
    (Propellar)

    Chii! Kwanza katoto kiuno, uno uno
    Kanakatika miuno, uno (eeh)
    Nishike kwa juu mama humo humo humo
    Pepeta ukiwa huko, huko, huko
    Mhh
    Laiti kama ungelijua we ndo wangu dua
    Umenishika kwa chini
    Yaani mpaka nazuzua
    Yaani popo eeh poporipo
    Nishike kwa chini hadi kokoriko
    Mtoto jojo Ana doido
    Kashingo kembamba ni poporipo
    Kwanza fanya unainama
    (Sare sare)
    Maua sama
    Zungusha body mama kaitaba
    (Sare sare)
    Asa ma kiuno kata
    Unafanya mizuka inapanda
    (Sare sare)
    Chekecha ninakuapia
    Unapiga miuno kisamantha
    (Sare sare)
    Hadi mimi ninajifia

    (Propellar)
    (Propellar)
    Tingisha kiuno kipropellar
    (Propellar) eeh
    Iyeeeh
    Tingisha kiuno kipropellar
    (Propellar)


    Comentarios

    Envía preguntas, explicaciones y curiosidades sobre la letra

    0 / 500

    Forma parte  de esta comunidad 

    Haz preguntas sobre idiomas, interactúa con más fans de Leteipa the King y explora más allá de las letras.

    Conoce a Letras Academy

    ¿Enviar a la central de preguntas?

    Tus preguntas podrán ser contestadas por profesores y alumnos de la plataforma.

    Comprende mejor con esta clase:

    0 / 500

    Opciones de selección