Waridi
Leteipa the King
(Unanikomesha) uhh
(Unanikomesha)
(Unanikomesha) ni vampK
(Unanikomesha) 254 (big Daddy)
Ukidunga kamini
Gunia Gauni ama Dera, Bado we ni mashini
Sijui nikwanini, Nikikuona nahisi nginyera inakata maini
Wanashangaa ati Niko Boring na hauendagi kwao
Wanasambaza nyori na hatukulagi kwao
Bila chapaa hatuna ngori fiti zaidi yao
Hata tukiwa na njaa tunala story finger pande yao
Nitunze Kama mshumaa ama koroboi
Ndo nisipoe, unipende Mimi, mhh
Kuna wengi shujaa wenye pesa na Mali dooh
Wasikutoe unitende Mimi
Wasikuvizie unikimbie mpenzi (waridi)
Na huu unyonge wangu si nitanyong'onyea (waridi)
Nivumilie, nikuhudumie, babe (waridi)
Hata ng'ombe za Nyanyangu ntakupea eeh
(Unanikomesha)
Nyumba magari havishindi thamani yako, (unanikomesha)
Ntapeana vyote niwe nawe mababe boo (unanikomesha)
Sukari asali havishindi utamu wako (unanikomesha)
Naeza kula sembe kavu nikikutazama tuu
(Unanikomesha)
(Unanikomesha)
Kuja ghetoni tupike
Ukaange nikionja Hadi kwa sufuria kaive, iyeeih
Kisha stima tuzime
Tukule mziki kwa nguvu mpaka majirani wakujee, iyeeh
Ulivyojaah
Nika unakulaga ijumaa
Ukinishika moyo unashikwa na kaswende nazubaa
Unanifaa, yaani mi ndo Giza we ndo taa
Ninavyokupenda nikama nimekuzaa eeeh
Nitunze Kama mshumaa ama koroboi
Ndo nisipoe, unipende Mimi, mhh
Kuna wengi shujaa wenye pesa na Mali dooh
Wasikutoe unitende Mimi
Wasikuvizie unikimbie mpenzi (waridi)
Na huu unyonge wangu si nitanyong'onyea (waridi)
Nivumilie, nikuhudumie, babe (waridi)
Hata ng'ombe za Nyanyangu ntakupea eeh
(Unanikomesha)
Nyumba magari havishindi thamani yako (unanikomesha)
Ntapeana vyote niwe nawe mababe boo (unanikomesha)
Sukari asali havishindi utamu wako (unanikomesha)
Naeza kula sembe kavu nikikutazama tuu
(Unanikomesha)
(Unanikomesha)



Comentarios
Envía preguntas, explicaciones y curiosidades sobre la letra
Forma parte de esta comunidad
Haz preguntas sobre idiomas, interactúa con más fans de Leteipa the King y explora más allá de las letras.
Conoce a Letras AcademyRevisa nuestra guía de uso para hacer comentarios.
¿Enviar a la central de preguntas?
Tus preguntas podrán ser contestadas por profesores y alumnos de la plataforma.
Comprende mejor con esta clase: