Umekopwa (feat. D Voice)

Mabantu

Letra

    Si wanapenda kubang

    Eti watu hivi mjini na nyota zao, ya kwako ishafifia
    Sasa unadangia nini? Umekesha kimboka hujarudi hata na mia
    Shoga kichwa cha panzi, Bia moja umezima umetupwa kisavia, aiya
    Alafu kesho unavimba unatamba, na wigi umegongea wewe

    Kumbe ndo maana umekopwa (umekopwa, umekopwa)
    Na Mashalove, umekopwa (umekopwa, umekopwa)
    Ona ndo maana umekopwa (umekopwa, umekopwa)
    Na jike shupa

    Unajifanya mtoto wa mjini, na juzi umekopwa
    (Unajifanya mtoto wa mjini, na juzi umekopwa)
    Unajifanya pisi kali, sa mbona umekopwa?
    (Unajifanya pisi kali, sa mbona umekopwa?)

    Kwani shoga umalaya umechanjia
    Maana bingwa kutaka fazambia we
    Ulipopanga hata chumba hujalipia
    Lile danga limekukimbia ona
    Majanga umerudi huku unalia
    Ndo maana umekopwa

    Dada nipe sitokuwacha walai
    Bomba bomba haikatopsi haikatai
    Na ukinipa sherehe, mama mchumba na sherehe
    Swafi haina kwelele, Ukucha umepata upele
    Ukitaka mbele kalia, ukitaka nyuma utalia

    Bi shosti si uliyataka mwenyewe, ulisema na kibamia (aii mama)

    Mpaka kifo kia pocha shela na tai
    Leo nikopeshe niko mbaya haifai
    Baby washa haifai, maana mbili haikai
    Wala tatu haikai, sitasimama masai
    Baby niwai ntakufa mwenzako ushakula vitu
    Alafu bao langu la ushindi halivutiki kwa tissue

    Kumbe ndo maana umekopwa (umekopwa, umekopwa)
    Na Mashalove, umekopwa (umekopwa, umekopwa)
    Ona ndo maana umekopwa (umekopwa, umekopwa)
    Na jike shupa

    Unajifanya mtoto wa mjini, na juzi umekopwa
    (Unajifanya mtoto wa mjini, na juzi umekopwa)
    Unajifanya pisi kali, sa mbona umekopwa?
    (Unajifanya pisi kali, sa mbona umekopwa?)

    (Haa) kane kane, si wanapenda kubang
    Pasha pasha pasha pasha, twende ganda moja
    Ganda mbili, ganga tatu
    Pasha pasha pasha pasha, twende ganda moja
    Ganda mbili, ganga tatu

    Nawaita wanangu wee (hee), eeh bajita (hee)
    Nawaita wanangu wee (hee), bajita, (hee)

    Basi twende nionyeshe kiuno, cha Fally Ipupa
    Masela kiuno cha Fally Ipupa
    We jombi nionyeshe kiuno, cha Fally Ipupa hiko
    Nionyeshe kiuno, cha Fally Ipupa

    Obey nionyeshe kiuno, cha Fally Ipupa
    Montana nionyeshe kiuno, cha Fally Ipupa
    Wanangu bado mdogo lakini anapenda chura
    Mashalove bado mdogo lakini anapenda chura
    Wanjala bado mdogo lakini anapenda chura
    Yule dada bado mdogo lakini Ana


    Comentarios

    Envía preguntas, explicaciones y curiosidades sobre la letra

    0 / 500

    Forma parte  de esta comunidad 

    Haz preguntas sobre idiomas, interactúa con más fans de Mabantu y explora más allá de las letras.

    Conoce a Letras Academy

    ¿Enviar a la central de preguntas?

    Tus preguntas podrán ser contestadas por profesores y alumnos de la plataforma.

    Comprende mejor con esta clase:

    0 / 500

    Opciones de selección