Suscríbete
visualizaciones de letras 1

Tunaendana

Malkia Karen

Letra

    Mwenzako mie bila we siwezi
    Kwenye upendo nimezama
    Kwenye upendo nimezama
    Nimulikie ka nuru ya mwezi
    Wajua nakupenda sana (nakupenda sana)
    Wajua nakupenda sana (nakupenda sana)

    Ah kwanza ona tunavyofanana
    Mpaka tabia tunavyoendana
    Tunavyofanana
    Tunavyofanana

    Ah kwanza ona tunavyofanana
    Mpaka tabia tunavyoendana
    Tunavyoendana
    Tunavyoendana

    (Tuwe mi na wewe)
    Tuwe wote mimi na we
    (Mi na wewe)
    Nakupenda sana
    (Tuwe mi na wewe)
    Tupendane mpaka mwisho
    (Mi na wewe)

    Aah ah, mahaba niue
    (Tuwe mi na wewe)
    Tuwe wote baby
    (Mi na wewe)
    Aah ah mi na we
    (Tuwe mi na wewe)
    Eeh mahaba niue
    (Mi na wewe)

    Kitanda chetu kinageuka ulingo
    Hakuna refa wala wa kushika fimbo
    Ona nashindwa kuvumilia
    Kwa hizo raha unazonipatia

    Na wala sihitaji mwingine zaidi ya we
    Unaenifanya me nipagawe
    Mbali nami usiende
    Oh baby usiende

    Ah kwanza ona tunavyofanana
    Mpaka tabia tunavyoendana
    Tunavyofanana
    Tunavyofanana

    Ah kwanza ona tunavyofanana
    Mpaka tabia tunavyoendana
    Tunavyoendana
    Tunavyoendana

    (Tuwe mi na wewe)
    Tuwe wote mimi na we
    (Mi na wewe)
    Nakupenda sana
    (Tuwe mi na wewe)
    Tupendane mpaka mwisho
    (Mi na wewe)

    Aah ah, mahaba niue
    (Tuwe mi na wewe)
    Tuwe wote baby
    (Mi na wewe)
    Aah ah mi na we
    (Tuwe mi na wewe)
    Eeh mahaba niue
    (Mi na wewe)

    Tuwe wote mi na wewe
    Tuwe wote mi na wewe
    Aah aah

    Tuwe wote mi na wewe
    Tuwe wote mi na wewe
    Eeh eeh


    Comentarios

    Envía preguntas, explicaciones y curiosidades sobre la letra

    0 / 500

    Forma parte  de esta comunidad 

    Haz preguntas sobre idiomas, interactúa con más fans de Malkia Karen y explora más allá de las letras.

    Conoce a Letras Academy

    ¿Enviar a la central de preguntas?

    Tus preguntas podrán ser contestadas por profesores y alumnos de la plataforma.

    Comprende mejor con esta clase:

    0 / 500

    Opciones de selección