visualizaciones de letras 20

Maajab

Mbosso

Letra

    Nana na naaa
    Naa nana naaa na
    Naa nana naa na
    Naa naa nana

    Moko mokooo

    Imara kashikilia, mwache avimbe bichwa
    Wallah kanipatia, anastahili sifa
    Chumba kizima chanukia, uturi kajifisha
    Vidole nasimamia, ukingoni nafikishwa

    Ananikosha mwili, kwa maji ya madafu
    Ye ndo kocha na ananifunza kucheza rafu
    Anichua tumbo la ngiri, kwa mafuta ya karafu
    Nikichoka ananikanda kwa mabarafu

    Maajab maajab, penzi lake la ajab
    Maajabu maajabu, mahaba yake ya ajab
    Maajabu maajabu, penzi lake la ajab
    Maajabu maajabu, mahaba yake ya ajab

    Kifuani hunipaka halua, mikono tende anazichambua
    Anilamba
    Kitandani humwaga maua
    Mingine hata chembe sikuwa najua
    Anitoa ushamba
    Na nitake nini kwake? Niombe nsipewe
    Iwe pemba ama chake chake, nichague mwenyewe
    Kanipa pombe roho yake, ninywe nilewe
    Mambo shega ni mwake mwake, mangaka msewe
    Libandike penzi kama gazeti walisome
    Tuwaadabishe sangara shombo vibetwe tuwang'ong'e
    Nikila nilishe chapati za alizeti ninone
    Tuwafungishe midomo uzi cement tuwashone

    Ananikosha mwili, kwa maji ya madafu
    Ye ndo kocha na ananifunza kucheza rafu
    Anichua tumbo la ngiri, kwa mafuta ya karafu
    Nikichoka ananikanda kwa mabarafu

    Maajab maajab, penzi lake la ajab
    Maajabu maajabu, mahaba yake ya ajab
    Maajabu maajabu, penzi lake la ajab
    Maajabu maajabu, mahaba yake ya ajab

    Ayo laizer
    Wasafi

    Halua halua, hunipa vitamu laini laini
    Halua halua kinyama cha hamu, uhondo utosini
    Halua halua sili kwa kijicho nalishwa kwa ulimi
    Halua halua napewa hadi vya miko sasa nitake nini


    Comentarios

    Envía preguntas, explicaciones y curiosidades sobre la letra

    0 / 500

    Forma parte  de esta comunidad 

    Haz preguntas sobre idiomas, interactúa con más fans de Mbosso y explora más allá de las letras.

    Conoce a Letras Academy

    ¿Enviar a la central de preguntas?

    Tus preguntas podrán ser contestadas por profesores y alumnos de la plataforma.

    Comprende mejor con esta clase:

    0 / 500

    Opciones de selección