visualizaciones de letras 30

Tamba

Mbosso

Letra

    Pasha maji weka moto' tandika jamvi naja nyumbani
    Nimekuletea zawadi, kijora cha mkopo' futa la nazi ujipare, honey
    Na vijisabuni vya magadi'
    Nguru usimtoe chumvi ndio ladha yake
    Muunge tu' nipe na chuzi na nyama yake
    Eh'
    Kula ya mbuzi ni kamba yake (oh oo)
    Ye king'amuzi mi dishi lake

    Hook
    Fungeni maturubahi (mkeshe mkisema!)
    Wala hamtupi shida (mkeshe mkisema!)
    Ndo kwanza tunajidai (mkeshe mkisema!)
    Kama afisa wa nida
    Ooh oh

    Tena' daktari nimekuja na tiba sindano (leta nchomeke!)
    Chunga kibinda mwali napita kwenye mabano (leta nchomeke!)
    Nipo ngagari tayari kwa mapambano (leta nchomeke!)
    Chai yaanguka asas leo mambo msuguano (leta nchomeke!)

    Tamba
    Tamba
    Nakupa uwanja tamba
    Tamba
    Tamba
    Warushe warushike roho zao
    Tamba
    Tamba
    Wasokujua wakujue leo
    Tamba
    Tamba
    Tamba mama lao

    Nitalinda benki kwa rungu' niaminie
    Taka langu mwana mvungu' nainama mie
    Wavunje nazi na nyungu' wajifushie
    Oh my wangu atulinde atulinde mungu' yasitufikie
    Nilishakumbwa na tsunami' la mapenzi nikalia, na amani kwako sasa
    Penzi si la unyang'anyi' peke yangu najilia na shiba na kusaza
    Naka t. V kangu kana waka kuzima' nikupe
    Naka simu kangu japo cha mchina' nikupe
    Shika na moyo wangu nenda nao mazima' nikupe
    Tuzaliwe makkah tufie madinah' nikupe

    Fungeni maturubahi (mkeshe mkisema!)
    Wala hamtupi shida (mkeshe mkisema!)
    Ndo kwanza tunajidai (mkeshe mkisema!)
    Kama afisa wa nida
    Ooh

    Tena' daktari nimekuja na tiba sindano (leta nchomeke!)
    Chunga kibinda mwali napita kwenye mabano (leta nchomeke!)
    Nipo ngagari tayari kwa mapambano (leta nchomeke!)
    Chai yaanguka asas leo mambo msuguano (leta nchomeke!)

    Tamba
    Tamba
    Nakupa uwanja tamba
    Tamba
    Tamba
    Warushe warushike roho zao
    Tamba
    Tamba
    Wasokujua wakujue leo
    Tamba
    Tamba
    Tamba mama lao

    Wasafi

    Nishalinoa panga' porini kukata mua
    Mwana kaza kitanda' usiku kuneng'emua
    Nishalinoa panga' porini kukata mua
    Mwana kaza kitanda' usiku kuneng'emua
    Uu yeah yeah
    Uu yeah yeah yeah
    Nishalinoa panga' porini kukata mua
    Mwana kaza kitanda' usiku kuneng'emua
    Nishalinoa panga' porini kukata mua
    Aiyo aiyo aiyo yo aiyo
    La la la, la la la, la la la
    La la la, la la la, la la la
    Aiyo, laizer


    Comentarios

    Envía preguntas, explicaciones y curiosidades sobre la letra

    0 / 500

    Forma parte  de esta comunidad 

    Haz preguntas sobre idiomas, interactúa con más fans de Mbosso y explora más allá de las letras.

    Conoce a Letras Academy

    ¿Enviar a la central de preguntas?

    Tus preguntas podrán ser contestadas por profesores y alumnos de la plataforma.

    Comprende mejor con esta clase:

    0 / 500

    Opciones de selección