visualizaciones de letras 6

Sitamani

Nchilima

Hallelujah
Moyo wangu na imani yangu natamani mbinguni
Ata nipitapo kwenye magumu natamani mbinguni kwa baba
Hallelujah

Sitamani miji vya huku sitamani éeh
Natamani mji wa mbinguni
Sitamani miji vya huku sitamani éeh
Natamani mji wa mbinguni

Éeeeh
Nimesikia kwamba mbinguni kuna uzima éeh wa milele kila siku
Mi napenda nikafanye makao hee mbinguni ya milele
Ata nipitapo kwenye majiribu nitajitaidi mwisho wake nifike mbinguni
Mi sitamani miji vya huku mi sipendi kwasababu
Kila siku matatizo, wengeni wanaliya wengeni
Wanalalama njaa wengeni hawana kazi mimi sitamani kuishi kwenye dunia

Sitamani miji vya huku sitamani éeh
Natamani mji wa mbinguni
Sitamani miji vya huku sitamani éeh
Natamani mji wa mbinguni

Ikanave mwakudoba nindidoba kila liduva kutangadika éeh
Mala ding'ondo mala malwele, mala maganisha
Kushima vanu avanantumbwange nnungu éeh
Nindidoba kudyanga kuka napata lipuwilo
Likamalilika kila wakati kupuwanga
Hallelujah
Wimba pamo na vanjelo kuwa lipuwilo
Njini wambi lipuwilo yelusalemu óoh lipuwilo


Comentarios

Envía preguntas, explicaciones y curiosidades sobre la letra

0 / 500

Forma parte  de esta comunidad 

Haz preguntas sobre idiomas, interactúa con más fans de Nchilima y explora más allá de las letras.

Conoce a Letras Academy

¿Enviar a la central de preguntas?

Tus preguntas podrán ser contestadas por profesores y alumnos de la plataforma.

Comprende mejor con esta clase:

0 / 500

Opciones de selección