visualizaciones de letras 1
Letra

    Yeh!
    Niko hapa kuwapa muziki mzuri
    Wako hapa tu kuwa famous
    Ama juu waliskia ma-rapper hupendwa na madem, bas'
    Wanajiita lyricists kwa hizi interviews
    Na mimi tu ndio nimetoa lyric video ika hit a million views, how?

    Nyashinski!
    Cedo!

    Ati Nyash hii area si ulikam na ubaya
    Iko watu husema heri hata ungekwamia Ulaya
    Umerudi wasanii wakaanza kuambiwa retire
    Secular lakini unaandika gospel fire
    Si-live a lie najua nta-sound kama niko ma drei
    But juzi walai nilipanda matatu na Trey
    Na siuzi mayai nimetoka mbali aisee
    Na siishi Rongai, true story!
    Klepto si mtarudiana lakini
    Hatujai achana tunaruadiana kwa nini
    Na machali wa Inshalla mi na vijana wawili
    Tutazidi sana kando na kukosana niamini
    Tusipimane akili mi na kichaa
    Waambie waache kujichokesha ulimi mi ndo teacher
    Enyewe manze wataacha lini kujichocha juu ni clear
    Tukisimama hao na mimi mi ndio mnaprefer

    Aminia
    Oh, na-na-na-na-na
    Aminia
    Oh, na-na-na-na-na, eh
    Aminia
    Oh, na-na-na-na-na, eh
    Aminia
    Oh, na-na-na-na-na, eh

    Aminia
    Ah-ah-ah-ah-ah, yeah
    Aminia
    Ah-ah-ah-ah-ah, yeah
    Aminia
    Ah-ah-ah-ah-ah, yeah
    Aminia

    Kuna tenje yangu fulani heri ibaki mteja tu
    Au nikitoka niachange kwa keja tu
    Najua ikilia ni mtu anataka favour tu
    Kila conversation ni ka deja vu
    Maisha imejaa na watu fake si uongo
    Na visu zakunidunga nkiwageuzia mgongo
    Washa sense ntakafunga so wananyemelea
    Siezi afford kumwaga unga najitegemea
    Sieki imani kwa binadamu mimi
    Naeka imani kwa God si kwa sanam mimi
    Uh, ka sikupendi sikufichi
    No pretending hata simu zenu mi sishiki
    N'kuwe pissed kwa nini
    Siko pissed, niamini mi niko bien
    Na go through vitu real ka nyinyi mimi pia
    Maybe tu argue beats au beer
    Hatuezi argue iko rapper anatoa hits ka mimi

    Aminia
    Oh, na-na-na-na-na
    Aminia
    Oh, na-na-na-na-na, eh
    Aminia
    Oh, na-na-na-na-na, eh
    Aminia
    Oh, na-na-na-na-na, eh

    Aminia
    Ah-ah-ah-ah-ah, yeah
    Aminia
    Ah-ah-ah-ah-ah, yeah
    Aminia
    Ah-ah-ah-ah-ah, yeah
    Aminia

    Philosophy yangu ni don't worry chema chajiuza
    Sijieki na Don Larry ama Martin Luther
    Nani huyo asiyenenwa na interview, sio mimi
    Nikianza hii kitu ni watu wa few waliamini
    Nabii akosi heshima ispokuwa kwa nchi yake
    Kwa jamaa zake na nyumbani mwake
    Nabii akosi heshima ispokuwa kwa nchi yake
    Kwa jamaa zake na nyumbani mwake
    Hii ni ya kila mtu nishauliza ka anapenda rap
    Akaniambia ako 50-50, yeah
    Kila mtu Ana consider kuingia hii biz ya mziki
    But, ameambiwa ati mziki hailipi
    Kukopa juu ni passion basi kazi hata
    Ka we ni rapper ati juu ni fashion hatukutaki hapa
    Hii ni ya msanii hulalanga nje na guitar anaimba for free
    Saa hii na ataendelea hata ka anajua ata hajalipwa, yeah!
    Hii ni kwa mtoi yeyote ako na dream
    Siku moja joh niwewe wataita King
    Jione umepanda stage na umeshika
    Usiwai sahau mahali umetoka juu umefika

    Aminia
    S'choki, s'choki, s'choki
    Style mingi kushinda menu ya kinyozi
    (Aminia)
    Naeza fly wengine hawatoshi
    (Aminia)
    Aminia, aminia, aminia
    (Aminia)

    Ah-ah-ah-ah-ah, yeah
    Aminia
    Ah-ah-ah-ah-ah, yeah
    Aminia
    Ah-ah-ah-ah-ah, yeah
    Aminia
    Aminia


    Comentarios

    Envía preguntas, explicaciones y curiosidades sobre la letra

    0 / 500

    Forma parte  de esta comunidad 

    Haz preguntas sobre idiomas, interactúa con más fans de Nyashinski y explora más allá de las letras.

    Conoce a Letras Academy

    ¿Enviar a la central de preguntas?

    Tus preguntas podrán ser contestadas por profesores y alumnos de la plataforma.

    Comprende mejor con esta clase:

    0 / 500

    Opciones de selección