visualizaciones de letras 1
Letra

    Hodi kwa mama mtoto mkorofi
    Acha nikuambie ka unataka kuona machozi
    Ya mtoto mchokozi itabidi uongeze pilipili kwa biriani
    Otherwise, ka si hivyo wanachama hatuliangi
    Hatutuliangi, na ndukulu ni bangi
    Na ina harufu mbaya na inaudhi majirani
    Lakini haidhuru ni sawa acha wahamie mashinani
    Ka inawadhuru vibaya

    Yooo! Hey!
    Zinatubastia ka bomb bomb kwa corner
    Mi na squadi iko chrome
    Na macon men na wakora
    Wana Diploma zakufungualisha Grogon ma Corolla
    The Boredom mnasorora vile hamna Talent
    So mmegeuza game Sodom na Gomora
    Vuta hiyo trouser juu wacha kutuonyesha tako
    Vuta hiyo Mini Chini unamwaibisha mamako
    Ka unatafuta ule anajua kupika uji sio kupiga picha uchi
    Unfollow Nyako follow nyanyako
    Ukitaka nyama hapa sawa chief
    Hii butchery tunaita usiwahi blunder na beef na si huangalia ni ka skanga
    Bonga shit unatandikwa ka kitambaa, bedcover ama handkerchief

    If your God is money then you're poor to me
    I have a feeling, you're not who you pretend to be on IG
    Kutoka nursery, I've been a winner msiniweke gasoline
    Na bado hamjazima moto niliwasha '03

    Na kam na (finyo)
    Macho macho (finyo)
    Ndivyo tuna (finyo)
    Pasito na (finyo)
    Mwendo tuna (finyo)
    Mwenye tuna (finyo sana)

    Be ready for the world, is it ready for you?
    You waiting for your girl, is she waiting for you?
    Uliskia type yako hu like mabachelors, sijui kama ni true
    IG bae ni yule Carpenter I feel ka ni true
    Ah-ah ni reasoning si umang'aa, ujinga ndo si hukataa
    Sacrifice ni kuifanya for family sio chapaaa
    Greatness ni kuamkia legacy sio chapaaa
    Siwezi kuwa juu ya thao ka kwangu thao sio chapaa

    My apartment is in Amsterdam, certified Rasta man
    Aki sometime na hang, I feel like Am Sadam
    I feel like am the best, me kumake Man impress (zii)
    Kufake happiness (zii), me ni merciless
    Am Ill, na nitawatesa until mkubali kesi
    Ka sitaku Impress na skill, ni pamba freshi
    Ukidai tuingie commercial still, na kuwanga messy
    Prepare kuingia kwa battle field na mwanajeshi
    Hii ndo inaitwa One shot kill
    Na feelingi fiti nikiwamada ki action film
    Na believe hii muziki itanibuyia mansion still
    Na

    If your God is money then you're poor to me
    I have a feeling, you're not who you pretend to be on IG
    Kutoka nursery, I've been a winner msiniweke gasoline
    Na bado hamjazima moto niliwasha '03

    Na kam na (finyo)
    Macho macho (finyo)
    Ndivyo tuna (finyo)
    Pasito na (finyo)
    Mwendo tuna (finyo)
    Mwenye tuna (finyo sana)

    Mwanaume aseme hii shamba siwezi lima nakam na plough mbili
    Hiyo ingine ni ya finyo pekee (hehe)
    Niko na issue ikiwa juu yangu kama sio kofia
    Kwa ma issue za vitabu za historia
    Jina yangu watoi wako wataisoma pia
    Ata ka utadedi ukisema hukuwahi niskia
    Nishakuskia kila year ukilia utarun next year
    Si this year pia ilianza ukilia "Walai this year!"
    Next year nitakuhit niko high juu niko hai this year
    Sitakuwa hai next year ka nitakuwa High next year
    Excuses, excuse me!, please, sorry, thank you!
    Mission Impossible, kifo ni ngori jo!
    Na isikupate ukitry too hard to be perfect
    Sometimes jipe ruhusa tu kuwa ratchet
    Smile ka bado hujapita budget
    Na ka umepita ficha shida chini ya carpet

    Inapiga! Inapiga! Kushinda earthquake
    Inapiga! Inapiga! Kushinda earthquake
    Watu na race nao wameshindwa kushusha handbrake
    Uhunye na Rao wamepiga Handshake!


    Comentarios

    Envía preguntas, explicaciones y curiosidades sobre la letra

    0 / 500

    Forma parte  de esta comunidad 

    Haz preguntas sobre idiomas, interactúa con más fans de Nyashinski y explora más allá de las letras.

    Conoce a Letras Academy

    ¿Enviar a la central de preguntas?

    Tus preguntas podrán ser contestadas por profesores y alumnos de la plataforma.

    Comprende mejor con esta clase:

    0 / 500

    Opciones de selección