visualizaciones de letras 1

Now You Know

Nyashinski

Letra

    Huyo ni fala mgani anaweka ma mng'ari
    Kwa list juu ya Ferrari yeah
    Ana degree au ni journalist tu juu Ana list (whoop)
    Naskia wakiuliza ule boy wetu alienda wapi
    Amepotea ka zile mbegu watu walipanda na kanyari ye ye yeah

    Na naskia inasemekana
    Ati rap zangu hukam na mkazo na ile utamu ya reggae mama
    Ma ordinary wanankubali na hata watiaji hawaezi kana
    Kuna wale hupenda sauti yangu na iko wale husengenyana
    Mama mama
    Kijana wako amepotea
    Ni maskio tu ye anatoboa huku ndugu zake wakiendelea
    Mwenyezi pekee anaeza muokoa kimaisha amelegea
    Ingawa hatuoni akitoboa bado twazidi kumuombea amina

    Yeah sionangi haja ya ufisi
    Sina njaa najua mpishi
    Sijai fanya kazi ya ofisi
    Sijai lala ka sijadishi
    Sijarap kitu ka kutoka '06 ivi
    Trust me siezi rust mimi
    Ata niache mziki miaka hamsini
    Nikirudi bado nawacrush nyinyi
    Niko first mi ndani ya party
    Na nguo rasmi imepigwa pasi
    Hapo katikati napiga mic check
    Juu niko party na niko night shift
    Nilikuwa busy sikuwa najificha
    Clearly you rappers missed your teacher
    Vitu mnaandika zinachoma picha
    Nikiwish singewacha kuwafundisha
    Sauti naskia ni

    Don't waste your time wishing you're too proud my baby
    Too proud to wish they had an easy way out
    Let times get tough so they remember you're a blessing
    When life is good they will forget to say

    Yeah!
    Naulizwa mbona niliacha mziki
    Ati nilikuwa mkali juu ya mic na namissiwa na mashabiki
    Niliacha game mapema hata kabla refa hajapiga firimbi
    Bila kwaheri ati walishtukia tu ati kuna klepto mmoja haimbi
    Samahani nimepotea
    Shukrani kwa wale wamenifikiria
    Hizo miaka zote nimekuwa missing lakini iko kitu hamjaniambia
    Kaa ningebaki bado ungekuwa na taki ya kuskia nikiwaimbia
    Ama by saa hii mngekuwa mnanifanya vile mnafanya ma pioneer
    Story kwa media ati nimechapa niko juu ya madawa nahangaika
    Show ni ule jamaa aliimba 'Ada Ada' ebu come ucurtain raisie mnaija
    It's not that serious rap ni hobby, bila mziki bado namanga
    Ingekuwa career si ningekuwa nalia kuskia ati Naija Night Nairobi
    Ambia new comer asijifeel sana
    We ni mgeni siku ya kwanza tunakupenda
    Ukikaa kaa tutachoka na wewe ivo ndio kuuenda
    Mi ni ule mgeni alikaa siku mbili tu
    Skukaa siku mingi nikuachie nafasi ya kuchoka na mimi

    So now you know
    Shinsky
    So now you know
    Beat ya Keggah
    So now you know
    Hey, hum, heeey


    Comentarios

    Envía preguntas, explicaciones y curiosidades sobre la letra

    0 / 500

    Forma parte  de esta comunidad 

    Haz preguntas sobre idiomas, interactúa con más fans de Nyashinski y explora más allá de las letras.

    Conoce a Letras Academy

    ¿Enviar a la central de preguntas?

    Tus preguntas podrán ser contestadas por profesores y alumnos de la plataforma.

    Comprende mejor con esta clase:

    0 / 500

    Opciones de selección