Chocolate

Paul & Price

Letra

    Downtown baby
    Mr. Paul
    Labda nianze kusema vile ninavyohisi juu yako
    Mizani haiwezi kupima uzito wa penzi langu juu yako
    Natamani nitoe moyo nje niukabidhi mkono wako
    Sidhani kama nitaweza kuishi bila ya penzi lako

    Elewa mama ninavyosema
    Wasijesema nakupiga
    (Longolongo)
    Elewa mama ninavyosema
    Wasijesema nakupiga
    (Longolongo)

    Nikama chocolate
    Ama vanilla
    Ulivyomuhimu katika ice-cream
    Nikama maji
    Ama chakula
    Ulivyomuhimu maishani mwangu

    Nikama chocolate
    Ama vanilla
    Ulivyomuhimu katika ice-cream
    Nikama maji
    Ama chakula
    Ulivyomuhimu maishani mwangu

    Jioni ifikapo giza litandapo
    We ndio nuru yangu
    Niwapo mfungwa ndani ya fikra tele
    We ndio uhuru wangu
    Sidhani kama atakuja mwingine
    Kuteka moyo wangu
    Nadhani uliletwa duniani
    Maalum kwa ajili yangu

    Elewa mama ninavyosema
    Wasijesema nakupiga
    (Longolongo)
    Elewa mama ninavyosema
    Wasijesema nakupiga
    (Longolongo)

    Nikama chocolate
    Ama vanilla
    Ulivyomuhimu katika ice-cream
    Nikama maji
    Ama chakula
    Ulivyomuhimu maishani mwangu

    Nikama chocolate
    Ama vanilla
    Ulivyomuhimu katika ice-cream
    Nikama maji
    Ama chakula
    Ulivyomuhimu maishani mwangu

    Nuru ya huruwa
    Jose mtambo naingia moyoni mwangu
    Nyota yenye effects flani
    Bongo za flava kibao
    Mi amore vena na keep mami
    Night anasema big popi
    Tena kutwa tunamegana
    Sio leo tu mpaka menyana
    D anashanga El anashanga
    Mi ndio kabisa na bong'a
    Chocolate kuwa kama plate ya wali atasitoshek
    We ni vanilla
    So sweet ninakula
    Mi nkang'ani wa mbuzi mpera
    Hypnotise me shortie
    Ruka big guy I'm ballin
    True dat I'm tryna score
    Yes ma ni mi na Paul
    Mama tuliza ball
    Barbra meneja zoe

    Elewa mama ninavyosema
    Wasijesema nakupiga
    (Longolongo)
    Elewa mama ninavyosema
    Wasijesema nakupiga
    (Longolongo)
    Na kupenda baby
    Na kupenda baby
    Na kupenda
    Na kupenda baby
    Yeah
    Wooh


    Comentarios

    Envía preguntas, explicaciones y curiosidades sobre la letra

    0 / 500

    Forma parte  de esta comunidad 

    Haz preguntas sobre idiomas, interactúa con más fans de Paul & Price y explora más allá de las letras.

    Conoce a Letras Academy

    ¿Enviar a la central de preguntas?

    Tus preguntas podrán ser contestadas por profesores y alumnos de la plataforma.

    Comprende mejor con esta clase:

    0 / 500

    Opciones de selección