CCM Tetema

Rayvanny

Letra

    Ona wanatetema ooh wanatetema
    Wapinzani tetema ooh wanatetema
    Ona wanatetema ooh wanatetema
    Vichwa chini tetema ooh wanatetema

    Te Tetema, magufuli jembe haogopi
    Tetema, tena ni mkweli haongopi
    Tetema, mafisadi kawanyima noti
    Tetema, anajenga nchi na hachoki

    Nyumbani kumenoga, ooh mama
    Wapinzani wamedoda, ooh mama
    CCM namba moja, ooh mama
    Wale wengine watangoja wakilia

    Aah, ai mama shigidi aah
    Nakufa hoi wikidi aah
    Ai mama shigidi konki
    Fire moto, liquidi

    Ona wanatetema ooh wanatetema
    Wapinzani tetema ooh wanatetema
    Ona wanatetema ooh wanatetema
    Vichwa chini tetema ooh wanatetema

    Ona wanatetema ooh wanatetema
    Wapinzani tetema ooh wanatetema
    Ona wanatetema ooh wanatetema
    Vichwa chini tetema ooh wanatetema

    Tetema, ndege flyover kazileta
    Tetema, shule zote bure tunapeta
    Tetema, afya na viwanda kaboresha
    Tetema, magufuli nchi anapendezesha

    Ongoza chomoza we ni bulldozer
    Chuma mi nakuita jembe
    Wakichokoza, chokoza, wizi utawaponza
    Tumbua wapige nyembe, Brrokey

    Ona wale wamelala doro
    Doro, doro
    Ati wanatafuta kasoro
    Soro, soro

    Washa, zahanati kijiji jiji
    Washa, mwendo kasi kwenye jiji jiji
    Washa, rufiji jiji
    Washa, magufuli ndo biggy biggy

    Teete ooh wanatetema
    Wapinzani tetema ooh wanatetema
    Ona wanatetema ooh wanatetema
    Vichwa chini tetema ooh wanatetema

    Ona wanatetema ooh wanatetema
    Wapinzani tetema ooh wanatetema
    Ona wanatetema ooh wanatetema
    Vichwa chini tetema ooh wanatetema

    Kichaa kime, kime, kimewapanda
    Wamewehuka, Kime, kime kimewapanda
    Kawapandisha mizuka
    Kichaa kime, kime, kimewapanda
    Ona wanaruka ruka, kime, kimewapanda

    Kichaa kime, kime, kimewapanda
    Kapanda juu ya meza kime, kimewapanda
    Hadi wanavua shati
    Kichaa kime, kime, kimewapanda
    Hawatatuweza, kime, kimewapanda
    Na hawatupati

    (Wasafi)


    Comentarios

    Envía preguntas, explicaciones y curiosidades sobre la letra

    0 / 500

    Forma parte  de esta comunidad 

    Haz preguntas sobre idiomas, interactúa con más fans de Rayvanny y explora más allá de las letras.

    Conoce a Letras Academy

    ¿Enviar a la central de preguntas?

    Tus preguntas podrán ser contestadas por profesores y alumnos de la plataforma.

    Comprende mejor con esta clase:

    0 / 500

    Opciones de selección