visualizaciones de letras 68

Mwambieni (feat. Macvoice)

Rayvanny

Letra

    Iyo lizer
    Mwambieni
    Nampenda
    Bila yeye
    Mi siwezi

    Mwambieni
    Nampenda
    Bila yeye
    Mi siwezi

    Ati simtaji jina (anajijua)
    Fundi wa raha zangu (anajijua)
    Kiboko yangu
    Sio mpaka niseme
    Yule nina mpenda sana (anajijua)
    Roho yangu
    (Anajijua)
    Mwenye moyo wangu (anajijua)
    Sio mpaka niseme

    Kwanza tuanze rangi yake
    Ah! Jamani ipo mwake
    Natamani nione kopo lake
    Amenunua wapi duka lake
    Kisha tuje kwenye umbo lake ah!
    Hapo lazima udate
    Usije kutokwa mate
    Mambo ya uturuki tuyaache
    Maana mtoto kanawiri
    Jaama! Kumuacha uwe jasiri saana!
    Nime shindwa kuwa bahiri
    Mama! We nichune hadi kandambili
    Sawa
    Babe pose geuka freeze
    Nipе tabasamu la picha cheese
    You are so mwaaa!
    You are so cutе
    Kwako nime wehuka kabisa chizi

    Mwambieni
    Nampenda
    Bila yeye
    Mi siwezi

    Mwambieni
    Nampenda
    Bila yeye
    Mi siwezi

    Ati simtaji jina (anajijua)
    Fundi wa raha zangu (anajijua)
    Kiboko yangu
    Sio mpaka niseme
    Yule nina mpenda sana (anajijua)
    Roho yangu
    (Anajijua)
    Mwenye moyo wangu (anajijua)
    Sio mpaka niseme

    Leo nawatambulisha
    Mliokuwa hamjui
    Hapa ndo nimetika mwenzenu
    Shemeji yenu huyo
    Kwake najibebisha
    Usiku asubuhi
    Tongonza tongoza ama zangu ama zenu

    Shemeji yenu huyo
    Ye ndo tiba ya mwili
    Mama anituliza akili… Jama
    Ma ex mtasubiri
    Sanaaa
    Kumuacha sitikiriii
    Oooh! Oh!
    Pose geuka freeze
    Nipe tabasamu la picha cheese
    You are so mwaaaa!!!
    You are so cute
    Kwako nime wehuka kabisa chizi

    Mwambieni
    Nampenda
    Bila yeye
    Mi siwezi

    Mwambieni
    Nampenda
    Bila yeye
    Mi siwezi

    Ati simtaji jina (anajijua)
    Fundi wa raha zangu (anajijua)
    Kiboko yangu
    Sio mpaka niseme
    Yule nina mpenda sana (anajijua)
    Roho yangu
    (Anajijua)
    Mwenye moyo wangu (anajijua)
    Sio mpaka niseme


    Comentarios

    Envía preguntas, explicaciones y curiosidades sobre la letra

    0 / 500

    Forma parte  de esta comunidad 

    Haz preguntas sobre idiomas, interactúa con más fans de Rayvanny y explora más allá de las letras.

    Conoce a Letras Academy

    ¿Enviar a la central de preguntas?

    Tus preguntas podrán ser contestadas por profesores y alumnos de la plataforma.

    Comprende mejor con esta clase:

    0 / 500

    Opciones de selección