Tunawabuluza

Rayvanny

Letra

    DJ kidogo dogo

    Tunawabuluza, tunawabuluza
    Tunawabuluza, ona tunabuluza
    Tunawabuluza, tunawabuluza
    Tunawabuluza, ona tunawabuluza

    Ona walivyo wapole wamebaki kunong'ona
    Magufuli ndio zaidi wenyewe wanaona
    Wanatafuta kasoro kila mbinu zinagoma
    Maendeleo uhakika namba wanaisoma

    Standard gauge mabara bara shwari
    Zahanati shule mahospitali
    Ndege mwendo kasi flyover kali
    Kajali masikini mafisadi chali

    Magu, wapiga madili anapita nao
    Wazee wa miradi feki anapita nao
    Wakwepa kodi anapita nao
    Wanaopenda rushwa anapita nao

    Si tupotoka zamani anabisha nani?
    Si ndo chama lao rangi ni njano kijani
    Tena ni mashujaa, pole wapinzani
    Magufuli kichwa jembe namba one (ayoyoyo)

    Tunawabuluza, tunawabuluza
    Tunawabuluza, ona tunabuluza
    Tunawabuluza, tunawabuluza
    Tunawabuluza, ona tunawabuluza

    Aya kelele ya kwanza kwa magu yake (wee)
    Aya kelele ya pili kwa john yake (wee, wee)
    Aya kelele ya twatu kwa pombe yake (wee, wee wewe)

    We mikono juu, watu shangilia
    We mikono juu, weka mashati kofia
    Ccm mikono juu, watu shangilia
    Basi weka juu, weka mashati kofia

    Peperusha bendera, wee bendera
    Sijaona bendera, ccm bendera
    Peperusha bendera, wee bendera
    Kina mama bendera, sijaona bendera

    Peperusha bendera

    Aya magufuli aya wee (ayaa wee, ayaa wee)
    Mama samia aya wee (ayaa wee, ayaa wee)
    Majaliwa aya wee (ayaa wee, ayaa wee)
    Mashiru aya wee (ayaa wee, ayaa wee)

    Na mangula aya wee (ayaa wee, ayaa wee)
    Pole pole aya wee (ayaa wee, ayaa wee)
    Kiwangwala aya wee (ayaa wee, ayaa wee)
    Na makonda aya wee (ayaa wee, ayaa wee)

    Bado watoto wao, magu ni baba lao
    Ccm moto wao, tena kiboko yao
    Bado watoto wao, magu ni baba lao
    Ccm moto wao, tena kiboko yao

    Mikono juu alafu piga makofi
    Weka juu huku unapiga makofi
    Mikono juu alafu piga makofi
    Weka juu huku unapiga makofi

    Tunaenda kushoto, wee kushoto
    Twendeni kushoto, watu wote kushoto
    Turudi kulia, wee kulia
    Tunarudi kulia, wee kulia

    Twendeni kushoto, wee kushoto
    Tunaenda kushoto, eeh kushoto
    Turudi kulia, wee kulia
    Kina mama kulia, wee kulia

    Kina mama vigelegele
    Sijasikia vigelegele
    Aya wanangu piga milusi
    Sijasikia milusi

    Ccm kiboko yao, ccm kabari yao
    Ccm kiboko yao, ccm kabari yao
    Ccm kiboko yao, ccm kabari yao
    Ccm kiboko yao, ccm kabari yao

    Jembe magufuli, kiboko yao
    Wee mama samia, kabari yao
    Hadi majaliwa, kiboko yao
    Wee mwajembe baba, kabari yao
    Mbeya tulia mama, kiboko yao
    Ata cha ramila, kabari yao


    Comentarios

    Envía preguntas, explicaciones y curiosidades sobre la letra

    0 / 500

    Forma parte  de esta comunidad 

    Haz preguntas sobre idiomas, interactúa con más fans de Rayvanny y explora más allá de las letras.

    Conoce a Letras Academy

    ¿Enviar a la central de preguntas?

    Tus preguntas podrán ser contestadas por profesores y alumnos de la plataforma.

    Comprende mejor con esta clase:

    0 / 500

    Opciones de selección