
Vumilia
Rayvanny
it's bob manecky
iyee, iyee iye eh
iwe kibatari, ama mwanga wa mshumaa
kwenye kigiza cha jioni
pika dona ngangari, tulishushie na dagaa
ukishatoka sokoni
kisha tufunge safari, itayochukua masaa
utokwe jasho mgongoni
na vile 'na machachari
nikikushika kibaha, utamu hadi kinondoni
kuna muda nawaza, hivi nitakupa nini?
sina mbele sina nyuma masikini
chakula shida na tunalala chini, nambie
hum!
wenye mapesa, vogue na ma-lamborghini
wasijefanya ukanipiga chini
bado nawaza, hivi nitakupa nini utulie?
sambusa, kachori, bamia (aah)
tukipata pesa ni sangara
mchicha, mtori, bamia (aah)
kama tukikosa tunalala
kwa hiyo mama usijali, vumilia (iye eh)
vumilia (iyee ye)
vumilia, kesho tutapata mpenzi iiiih
vumilia (vumilia)
vumilia (vumilia)
vumilia, kesho tutapata mpenzi
najua unatamani high waist, make up
weaving za dubai na china
ule pamba nyepesi, setup
cheni ya dhahabu yenye jina
oooh
basi mama vumilia, nakupigania, mpenzi subiria
oooh
acha kujiinamia, punguza kulia, atatusaidia
eti mapenzi si moyo, mapenzi ni pesa
ama kweli masikini yatatutesa
uchoyo, usinipe presha
naomba unipende
kuna muda nawaza, hivi nitakupa nini?
sina mbele sina nyuma masikini
chakula shida na tunalala chini, nambie eeh
hum!
wenye mapesa, vogue na ma-lamborghini
wasije fanya ukanipiga chini
bado nawaza, hivi nitakupa nini utulie eeh?
sambusa, kachori, bamia aaah
tukipata pesa ni sangara
mchicha, mtori, bamia aaah
kama tukikosa tunalala
kwa hiyo mama usijali, vumilia (iye eh)
vumilia (iyee ye)
vumilia, kesho tutapata mpenzi iiih
vumilia (vumilia)
vumilia (vumilia)
vumilia, kesho tutapata mpenzi



Comentarios
Envía preguntas, explicaciones y curiosidades sobre la letra
Forma parte de esta comunidad
Haz preguntas sobre idiomas, interactúa con más fans de Rayvanny y explora más allá de las letras.
Conoce a Letras AcademyRevisa nuestra guía de uso para hacer comentarios.
¿Enviar a la central de preguntas?
Tus preguntas podrán ser contestadas por profesores y alumnos de la plataforma.
Comprende mejor con esta clase: