visualizaciones de letras 19

Zilipendwa (feat. Diamond Platnumz, Queen Darleen, Rich Mavoko, Lava Lava, Mbosso & Harmonize)

Rayvanny

Letra

    Oooh! Hizo ni zama za kale
    Oooh! Sangulo na pepe kale
    Zilipendwa

    Eh! Kizamani, kutoa card na maua (zilipendwa)
    Wanataka money ukilipa unakwarua (zilipendwa)
    Ufundi kitandani, sio maguvu kujikwamua (zilipendwa)
    Unafika ndani, hujatomasa unachanua (zilipendwa)
    Wanawake wa leo wanataka mikakati
    Ukiwa mzugaji haki ya mungu huwapati (zilipendwa)
    Mapenzi ya video yatakutoa kamasi
    Eti nikinywa maji nakuona kwenye glass (zilipendwa)
    Eeh! Kupiga chabo getto (zilipendwa)
    Mkono na dettol (zilipendwa)
    Sunche na kapeto (zilipendwa)
    Majay na mobeto (zilipendwa)

    Oooh! Hizo ni zama za kale
    Oooh! Sangulo na pepe kale
    Mmm boringo ndombolo (zilipendwa)
    Twanga chipolopolo (zilipendwa)
    Na maji ya kandoro (zilipendwa)
    Simba wa morogoro (zilipendwa)

    Mtaani sipati sukari guru kabisa (zilipendwa)
    Hivi yuko wapi mb dogg wa latiffa (zilipendwa)
    Babu tale wapi papa misifa (zilipendwa)
    Siku hizi party hatuendagi ibiza (zilipendwa)
    Mpira na pele (zilipendwa)
    Tanu na nyerere (zilipendwa)
    Asha ngedere (zilipendwa)
    Harusi mabele (zilipendwa)
    Eeeti uuze nyumba uweke heshima bar
    Eeeti ulazimishe aliyekukataa
    Sabuni kicherema (zilipendwa)
    Mabanda ya cinema (zilipendwa)
    Lipumba na mrema (zilipendwa)
    Diamond na wema (zilipendwa)

    Ooooh hizo ni zama za kale (zama za zamani)
    Ooooh sangulo na pepe kale (yoyoyo)
    Mmm aggy na sogi dogg (zilipendwa)
    Chanel analog (zilipendwa)
    Movie za saibog (zilipendwa)
    Van damme arnold (zilipendwa)

    Una nibeep nikupigie umeiweka vocha (haloo)
    Ule wewe nilipe mie umeniona loffa
    Teena na madada wenye majina acheni visa
    Unaitwa ukale dinner mnakwenda tisa
    Nywele za kichina (zilipendwa)
    Pochi za kuazima (zilipendwa)
    Zena na betina (zilipendwa)
    Bashite gwajima (zilipendwa)

    Ooh hizo ni zama za kale (zama za zamani)
    Ooh sangulo na pepe kale (yoyoyo)
    Mmm amitabh bachchan (zilipendwa)
    TV kwa jirani (zilipendwa)
    Madee rayvany (zilipendwa)
    Zai ivan (zilipendwa)

    Yanini kunichunguza naishi wapi (zilipendwa)
    Nala, chapati kwa maini au makapi (zilipendwa)
    Kutwa kunikalia chini unda kamati
    Oh ya rabi masikini kuni dhihaki
    Ah samba mapangala (zilipendwa)
    P funk kajala (zilipendwa)
    Onyango na jangala (zilipendwa)
    Rufufu mkandala (zilipendwa)
    Vya nini vidomo domo tutupiane tunguli
    Kisa pesa za mkopo msimu wa magufuli
    Ah, bongoman yondo (zilipendwa)
    Sikinde msondo (zilipendwa)
    Magari ya udongo (zilipendwa)
    Babu wa loliondo (zilipendwa)

    Ooooh! Hizo ni zama za kale (zilivumaga sana)
    Ooooh! Sangulo na pepe kale (yoyoyo)
    Ah TV za kichogo (zilipendwa)
    Wakina man dojo (zilipendwa)
    Aggy na iyobo (zilipendwa)
    Akina hatupogo (zilipendwa)

    Eti msiba ukiona bundi unataka kupagawa
    Tulale makundi makundi kuogopa popo bawa
    Zuwena nitampata wapi (zilipendwa)
    Zuwena wa zile nyakati eh (zilipendwa)
    Kujifanya mapanga sunna eti wamepinda
    Wengine wabeba vyuma na hakuna marinda
    Iddi amini dada (zilipendwa)
    Miuno ya h baba (zilipendwa)
    Domo chai jabba (zilipendwa)
    Michezo ya kibaba baba (zilipendwa)

    Wale wapiga madeal sasa hali mbaya (zilipendwa)
    Hizi zama za magufuli si za jakaya (zilipendwa)
    Ugomvi wa mr. Nice na dudu baya (zilipendwa)
    Vikatuni vya madenge baba ubaya (zilipendwa)
    Muhogo mchungu mr. Bean, wapi bambo (zilipendwa)
    Wale wazamiaji wale wa melini wazee wa ng’ambo
    Hivi yuko wapi banjamini wa mambo jambo
    Wa Vietnam waporini vita na rambo
    Eh ndanda mjela jela (zilipendwa)
    Kidali kombolela (zilipendwa)
    Max na zembwela (zilipendwa)
    Juma nature na fela (zilipendwa)

    Ooooh hizo ni zama za kale (zama za zamani)
    Ooooh sangulo na pepe kale (yoyoyo)
    Mmm kamanda daz nunda (zilipendwa)
    Kalumanzila ndumba (zilipendwa)
    Simu za dole gumba (zilipendwa)
    Johari na kanumba (zilipendwa)

    Wasafi!

    Zilipendwa, zilipendwa
    Zilipendwa, zilipendwa

    Ohleelile lelelilee
    Zilipendwa


    Comentarios

    Envía preguntas, explicaciones y curiosidades sobre la letra

    0 / 500

    Forma parte  de esta comunidad 

    Haz preguntas sobre idiomas, interactúa con más fans de Rayvanny y explora más allá de las letras.

    Conoce a Letras Academy

    ¿Enviar a la central de preguntas?

    Tus preguntas podrán ser contestadas por profesores y alumnos de la plataforma.

    Comprende mejor con esta clase:

    0 / 500

    Opciones de selección