Dea Moda (Freestyle)

Ssaru

Letra

    Uh first time ulinichekingi kwa mbulu
    Najua ulishtuka hadi ukapiga nduru
    Uko surprised ati Ssaru ndo huyu
    Wakati ulinicheka juu nikona katululu
    Unajifanya umekuja kwangu kuzuru
    Nasi tunakuja buda joh we ni kunguru
    Unahate unajifanya we ni guru
    Na mi nikikucheki nakuona ka kalulu
    Huu ka kalulu mi na roll na uhuru
    Uko kwa ngori bado mi na kunusuru
    Mashallah! Naogopa kukufuru
    Huyu ni Mungu bado ananiweka tu kwa nuru

    Aah mtu ako huru saa nipate buru
    Wataka kucheka juu uko class ya gumbaru
    Aah mtu ako huru saa nipate buru
    Wataka kucheka juu uko class ya gumbaru

    Ka we ni rapper joh buda kaa rada
    Juu ka niko around mi ndo huwanga komanda
    Niko hapa nimekuja ku murder
    Na venye mi natema nakuonanga mshamba
    Rende ni less haipiti mtu saba
    Ka ni kuadisia adisia to our mother
    Hao wengine ni watoto wachanga wanalalanga sana mpaka wanavunja kitanda
    Kaa niko lit nakujanga kama mwanga
    Hii ni kali utachase tu na waba
    Nipate base nikuseti tu mawada
    Mi ni mless na napendanga aay, aay tew
    Bom hii ni team ya Wakanda
    Hatubagui joh kuna mpaka wakamba
    Hakuna mtu anamind bro we tamba
    Kaa ni luku daily si hudunga pamba
    Hizo mechi wananiita dea moda
    Nilikumbuka sitaki kurudi moshatha
    Umelegeza na nakuja kuwakaza
    Saa ukini diss story zishafika tanga

    Wewe mnafik na unajifanya rafik
    Saa yenye nakuhitaji unadai umekwama kwa traffic
    Wanafaa kutense juu nimegundua tactics
    Sitaki hizo mapenzi zenu fake nikiwa love six
    Skiza Baby boss nikupee penzi la uduu
    Mi nishalegeza njoo ni bebe juu juu

    We ndo huwa unafanya roho ndo inadunda dudu! Aah
    Tuma fire sina ganji nadi purse
    Wako mie mi na bend down di [?] gyal
    Adi teacher kwenye film mi na
    Rap mi na say thats the rule non spot
    Saa nimefika nimekuja kuwa replace
    Adabu zao joh ni kama wali misplace
    Zangu ninazo sasa cheki niko
    Am the baddest kwa game nipee respect
    Am the baddest kwa game nipee respect


    Comentarios

    Envía preguntas, explicaciones y curiosidades sobre la letra

    0 / 500

    Forma parte  de esta comunidad 

    Haz preguntas sobre idiomas, interactúa con más fans de Ssaru y explora más allá de las letras.

    Conoce a Letras Academy

    ¿Enviar a la central de preguntas?

    Tus preguntas podrán ser contestadas por profesores y alumnos de la plataforma.

    Comprende mejor con esta clase:

    0 / 500

    Opciones de selección