visualizaciones de letras 4

Gere (feat. Diamond Platnumz)

Tanasha Donna

Letra

    Zigila parapampapa
    Donna na Chibude
    (Ayolizer!)
    Ooh, yeah, hahaha
    It's Platnumz

    Eeh ati unapenda kooni
    Nikikupa mpaka morning
    Nikipekenya pekenya
    Nisiwahi ichelewe
    Nikikuchum mdomoni
    Touch touch kiunoni
    Niwe natekenya tekenya
    Nakufanya ulewe

    Boo you're my sweet chocolate monsta (aah)
    So real I contamplate on that
    And baby better ride for me
    And show me that you're mine mine, oh, oh
    I'ma go downtime for ya
    Call you king, put a crown on ya
    And baby take your time with me
    Let's flow like river Nile

    Hapa, asa show me ile kitu amekupa mama
    Hebu chutama, kama inazama
    Nikupige chenga kwa danadana
    Tuwafunge kelele (ay, ay, ay)

    Jioni usiku mchana, jua likizama
    Tuanza kandana
    Nikuonyeshe kile amenipa mama
    Tuwafunge kelele
    Maana wanaona

    Wanaona gere
    Wanaona gere (wanaona)
    Wanaona gere
    Wanaona ge, ge, ge, ge

    Wanaona gere
    Wanaona gere (wanaona)
    Wanaona gere
    Wanaona ge, ge, ge, ge

    Don't you ever leave me solo
    Or dissapoint me with these basic hoes
    You make my mind go lokoloko
    Utawapa misemo wa nokonoko
    And you better tell them that you are mine
    Better be my ride or die
    Kabla ya kuwika jogoo
    Asubuhi niamshe na kimoko

    Eeeh! Mama kasema mwali mwana
    Nipepata nitulie Simba
    Ooh nitulie Simba
    Ooh nitulie Simba
    Zile chenga vidanga dana
    Vicheche nichunie Simba
    Ooh nichunie Simba
    Ooh nichunie Simba

    Asa beiby ebu show me ile kitu amekupa mama
    Hebu chutama kama inazama
    Nikupige chenga kwa danadana
    Tuwafunge kelele (ay, ay, ay)

    Jioni usiku mchana, jua likizama
    Tuanza kandana
    Nikuonyeshe kile amenipa mama
    Tuwafunge kelele
    Maana wanaona

    Wanaona gere
    Wanaona gere (wanaona)
    Wanaona gere
    Wanaona ge, ge, ge, ge

    Wanaona gere (whenever we're together)
    Wanaona gere (wanaona)
    Wanaona gere
    Wanaona ge, ge, ge, ge

    Asa beiby nikomeshe
    Kati katika (kata)
    Kati, kati, katika (kata)
    Donna katika (kata)
    Ooh beiby katika (kata)

    When you hold on to me (kata)
    Go down follow my knees (kata)
    Moving side to side beiby (kata)
    Ooh kati (kata)

    (Wasafi!)


    Comentarios

    Envía preguntas, explicaciones y curiosidades sobre la letra

    0 / 500

    Forma parte  de esta comunidad 

    Haz preguntas sobre idiomas, interactúa con más fans de Tanasha Donna y explora más allá de las letras.

    Conoce a Letras Academy

    ¿Enviar a la central de preguntas?

    Tus preguntas podrán ser contestadas por profesores y alumnos de la plataforma.

    Comprende mejor con esta clase:

    0 / 500

    Opciones de selección