visualizaciones de letras 25

Tanzania Ya Sasa

Zuchu

Letra

    Hey!
    Tiktiktik tii!
    Iyoo lizer!

    We mama njoo
    Njoo uone nchi ilivyobadilika
    Tanzania ya leo ooh!
    Imejengwa imejengeka
    Pita ubungo tazara
    Za juu barabara
    Tayari zinatumika
    Reli yenye viwango bora standard gage
    Karibu inakamilikaa!

    Tanzania ya sasa mama
    Aii mama!
    Ya magufuli mama
    Aii mama!
    Ina wakawaka mama
    Aii mama!
    Inapendeza sana
    Aii mama!
    Tanzania ya sasa maama!
    Aii mama!
    Ya ccm mama
    Aii mama!
    Ina wakawaka mama
    Aii mama!
    Inapendeza sana

    Nasema jua lile literemke mama
    Jua lilee literemke mama!
    Nasema wapinzanii watetereke sana eh!
    Wapinzanii watetereke sanaa!
    Jamani jua lilee literemke mama eeh!
    Jua lile literemke mama!
    Wabaki wapinzanii watetereke sana eh!
    Wapinzani watetereke sana!

    Eeh!
    Wazee watoto
    Wanawake hospitali buree
    Buree magufuli uyoo!

    Elimu ya msingi
    Pamoja na sekondari bure
    Bure magufuli huyo!
    Eeh!

    Ccm hai (hai!)
    Hai hai (hai! Hai!)
    Magufuli hai (hai!)
    Hai hai (hai! Hai!)

    Wapinzani wamekaa (kaa!)
    Kaaa (kaa! Kaa!)
    Wamekaa (kaa!)
    Kaaa (kaa! Kaa!)

    Dokta shein hai (hai!)
    Hai hai (hai! Hai!)
    Mama samia hai (hai!)
    Hai hai (hai! Hai!)

    Wapinzani wamekaa (kaa!)
    Kaa (kaa! Kaa!)
    Wamekaa (kaa!)
    Kaa (kaa! Kaa!)

    Majaliwa hai (hai!)
    Hai hai (hai! Hai!)
    Na bashiru hai (hai!)
    Hai hai (hai! Hai!)

    Wapinzani wamekaa (kaa!)
    Kaa (kaa! Kaa!)
    Wamekaa (kaa!)
    Kaaa (kaa! Kaa!)

    Tanzania ya sasa mama
    Aii mama! (Eeh!)
    Ya magufuli mama (ieeh eh!)
    Aii mama!
    Ina wakawaka mama (tanzania hi!)
    Aii mama! (Ya leo!)
    Inapendeza sana (ya magufuli!)
    Aii mama! (Mama weeewe!)
    Tanzania ya sasa mama
    Aii mama!
    Ya ccm mama (he eeh!)
    Aii mama!
    Ina wakawaka mama (he eeh!)
    Aii mama!
    Inapendeza sana (inang'arang’ara inang'araa)
    Aii mama!

    Nasema jua lile literemke mama (tii! Tii! Ti!)
    Jua lilee literemke mama!
    Nasema wapinzaniii watetereke sana
    Wapinzanii watetereke sanaa
    Jamani jua lilee literemke mama eeh!
    Jua lile literemke mama!
    Wabaki wapinzanii watetereke sana eeeh!
    Wapinzani watetereke sana!

    Mzee mangula hai (hai!)
    Hai hai (hai! Hai!)
    Polepole hai (hai!)
    Hai hai (hai! Hai!)

    Wabunge wote hai (hai!)
    Hai hai (hai! Hai!)
    Kamati kuu hai (hai!)
    Hai hai (hai! Hai!)

    Wajumbe wa nec haii (hai!)
    Hai hai (hai! Hai!)
    Wenyeviti wa mitaa (hai!)
    Hai hai (hai! Hai!)

    Wenyeviti wa vitongoji (hai!)
    Hai hai (hai! Hai!)
    Mabalozi haii (hai!)
    Hai hai (hai! Hai!)

    Hee!
    Ccm hai (hai!)
    Hai hai (hai! Hai!)
    Wanachama hai (hai!)

    Hai hai (hai! Hai!)
    Wapinzani wamekaa (kaa!)
    Kaa (kaa! Kaa!)
    Wamekaa (kaa!)
    Kaa aah!


    Comentarios

    Envía preguntas, explicaciones y curiosidades sobre la letra

    0 / 500

    Forma parte  de esta comunidad 

    Haz preguntas sobre idiomas, interactúa con más fans de Zuchu y explora más allá de las letras.

    Conoce a Letras Academy

    ¿Enviar a la central de preguntas?

    Tus preguntas podrán ser contestadas por profesores y alumnos de la plataforma.

    Comprende mejor con esta clase:

    0 / 500

    Opciones de selección