Letra

    Yeah, yeah cheki!

    Hii ni ngoma ingine mtaani inaitwa matisha (matisha)
    Brand new style inaitwa matisha (matisha)
    Ka una kikolo, kinare iko area wakisha (wakisha)
    Ibaki ni mamoshi zinatoka hadi na dirisha (dirisha)

    Eeeh hii ni ngoma ingine mtaani inaitwa matisha (matisha)
    Brand new style inaitwa matisha (matisha)
    Ka una kikolo kinare iko area wakisha (wakisha)
    Ibaki ni mamoshi zinatoka hadi na dirisha (dirisha)

    Eeh, hii ni ngoma ingine mtaani inaitwa matisha (matisha)
    Brand new style inaitwa matisha (matisha)
    Ka una kikolo kinare iko area wakisha (wakisha)
    Ibaki ni mamoshi zinatoka hadi na dirisha (dirisha)

    Eeeh, na wakikuuiliza ni nani alikuwa akiziwakisha (wakisha)
    Ibaki ni jirani huku kando alikuwa akiziwakisha (wakisha)
    Na si amezivuta sana leo ameziwakisha (wakisha)
    Jo ni kubaya morio, ngori ni kumatisha eeh

    Nikumati ni kumati ni kumatisha (matisha)
    Nikumatisha design bila kubahatisha (bahatisha)
    Ka una kikolo kinare iko area wakisha (wakisha)
    Ibaki ni ma moshi zinatoka hadi na dirisha

    Eeeh, ka umepiga look uko msafi, jo umetumatisha (matisha)
    Ka uko na kamutu, ni kazuri na kamematisha (matisha)
    Mambo ya kuhanya biriganya bado umematisha
    Eeeh, na kangoma kengine kanaitwa matisha (matisha)

    Hii ni ngoma ingine mtaani inaitwa matisha (matisha)
    Brand new style inaitwa matisha (matisha)
    Ka una kikolo kinare iko area wakisha (wakisha)
    Ibaki ni mamoshi zinatoka hadi na dirisha eeh (dirisha)

    Hii ni ngoma ingine mtaani inaitwa matisha (matisha)
    Brand new style inaitwa matisha (matisha)
    Ka una kikolo kinare iko area wakisha (wakisha)
    Ibaki ni ma moshi zinatoka hadi na dirisha (dirisha)

    Cheki, si unaeza chizi ukikimbiza mbuzi ngozi inakaa doh
    Si ni kumatisha, wako lamba lolo isha tu go
    Hujaskia ma morio flani wakali wametoka Dago
    Si wamekam na ingine mbaya si unasikia vile inadunda bro

    Hiyo cheki, hii ni ile mbaya mlikuwa mkiongojea
    Niliiskia mkiongea ikabaki ni kuwaletea
    Hii ni, ile fiti iko na kikadi snare
    Hii ni beat nikiwa nayo hadi mambo nitawapea

    Hii ni, ile ya mafans wangu kuwagotea
    Kuwashow bado niko si ati mi nilipotea
    Hii ni, ile ya jeshi kumatisha
    Jeshi cheza chini na bado pia ujue kumatisha
    Jeshi ilegezagi mabata bado huziwakisha
    Kwanza ikuwe tamasha hapo ndio sasa
    Sisi huzimati (matisha)

    Hii ni ngoma ingine mtaani inaitwa matisha (matisha)
    Brand new style inaitwa matisha (matisha)
    Ka una kikolo kinare iko area wakisha (wakisha)
    Ibaki ni ma moshi zinatoka hadi na diri- (dirisha)

    Hii ni ngoma ingine mtaani inaitwa matisha (matisha)
    Brand new style inaitwa matisha (matisha)
    Ka una kikolo kinare iko area wakisha (wakisha)
    Ibaki ni ma moshi zinatoka hadi na dirisha eeh (dirisha)

    Yeah, yeah, ni Zzero
    Kama sos mi ndio Soss
    Mi ndio Boss
    Mi ndio World Boss
    Eeh, big up Megalinks Productions

    Comentarios

    Envía preguntas, explicaciones y curiosidades sobre la letra

    0 / 500

    Forma parte  de esta comunidad 

    Haz preguntas sobre idiomas, interactúa con más fans de Zzero Sufuri y explora más allá de las letras.

    Conoce a Letras Academy

    ¿Enviar a la central de preguntas?

    Tus preguntas podrán ser contestadas por profesores y alumnos de la plataforma.

    Comprende mejor con esta clase:

    0 / 500

    Opciones de selección