visualizaciones de letras 1

Zimenishika

Zzero Sufuri

Letra

    Zimenishika zimenishika, zimenishika yooh
    Niki (mff mmff), kimenishika yoh
    Eeeh, kiko kwa kichwa
    Kimejificha si ni kimbichwa yoh
    Si ni kienyewe
    Kiko kwa kichwa kimejificha yoh
    Kiko kwa kichwa kimejificha si ni kimbichwa
    Si ni kienyewe kiko kwa kichwa kimejificha
    Juu ni kimbichwa (sikia Zzero)

    Washa ki (mff mmff) ndio kiende chain
    Nikivute kiingie (mff mmff) hadi kwa brain
    Nikitam niki (mff mmff), saa ya rain
    Niki ki (mff mmff)

    Eeh
    Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh
    Mahali imefika, zimenishika zimenishika yoh
    Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh
    Niki (mff mmff), kimenishika yoh

    Eeh
    Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh
    Mahali imefika, zimenishika zimenishika yoh
    Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh
    Niki (mff mmff), kimenishika yoh

    Eeh
    Kiko kwa kichwa kimejificha, si ni kimbichwa yoh
    Si ni kienyewe kiko kwa kwa kichwa, kimejificha yoh
    Kiko kwa kichwa kimejificha si ni kimbichwa
    Si ni kienyewe kiko kwa kichwa kimejificha
    Juu ni kimbichwa eeh

    Washa ki (mff mmff) ndio kiende chain
    Nikivute kiingie (mff mmff) hadi kwa brain
    Nikitam niki (mff mmff), saa ya rain
    Niki ki (mff mmff) eeh hadi kwa vein

    Ati washa ki (mff mmff) ndio kiende chain
    Nikivute kiingie (mff mmff) hadi kwa brain
    Nikitam niki (mff mmff), saa ya rain
    Niki ki (mff mmff) eeh hadi kwa vein

    Ju naifanya mara mingi nikohoe (mff mmff)
    Kwa kifua (mff mmff)
    Mi hukivuta (mff mmff)
    Na mamorio wangu wote si wanapenda kuzi (mff mmff)
    Kutoka ngware hadi usiku si hushindaga tuki (mff mmff)

    Tukilandi (mff mmff)
    Nishawasha kingine (mmff)
    Kwanza peddy si ako inadi
    Zinafaa tuziende (mmff)
    Zikikam (mff mmff)
    Tuzivute (mff mmff)
    Zote zote ka (mff mmff)
    Zote zote ka (mff mmff)

    Cheki
    Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh
    Mahali imefika, zimenishika zimenishika yoh
    Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh
    Niki (mff mmff), kimenishika yoh

    Eeh
    Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh
    Mahali imefika, zimenishika zimenishika yoh
    Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh
    Niki (mff mmff), kimenishika yoh

    Si uki kohoa kohoa hiyo ni dalili ya kunyongwa
    Pitisha morio utaitisha ni kubwa sana
    Ivisha macho zikuwe red, macho nyanya na
    Usiseme ukweli ukiulizwa unasema hapana

    Ati niki (mff mmff)
    Umevuta na unasema hapana
    Maybe pengine, kwani morio mnajuana
    Si kuna watu huwaga jo mnaweza kosana
    Imekubalika we ki (mff mmff) bado mchana

    Ati ki kush kipass kwanza kitam kia ras
    Ka umezoea choma utaskia niko kwa France
    Unajua uko smart chini umedunga ma clarks
    Unaeza vaa pams, toka mbio ruka bumps

    Ati zimenishika zimenishika, zimenishika yoh
    Mahali imefika, zimenishika zimenishika yoh
    Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh
    Niki (mff mmff), kimenishika yoh

    Eeh
    Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh
    Mahali imefika, zimenishika zimenishika yoh
    Zimenishika zimenishika, zimenishika yoh
    Niki (mff mmff), kimenishika yoh

    Yeah, yeah (yeah, yeah)
    Ni Zzero, kama sos me ndio soss, mi ndio world boss
    Eeeh cheki, Bigup MeGaLink productions
    Dagoretti, number 2 tuko ndani

    Comentarios

    Envía preguntas, explicaciones y curiosidades sobre la letra

    0 / 500

    Forma parte  de esta comunidad 

    Haz preguntas sobre idiomas, interactúa con más fans de Zzero Sufuri y explora más allá de las letras.

    Conoce a Letras Academy

    ¿Enviar a la central de preguntas?

    Tus preguntas podrán ser contestadas por profesores y alumnos de la plataforma.

    Comprende mejor con esta clase:

    0 / 500

    Opciones de selección