visualizaciones de letras 4

Binadamu (feat. Maurice Kirya)

AY Masta

Letra

    This is AY from Tanzania
    Maurice Kirya and MD from Uganda
    It’s a dedication to all Africans living in poverty
    Yeah!

    Usiombee mambo yaharibike
    Pesa usiishike mfano wa mti upukutike
    Utaonekana si lolote, si chochote
    Utaonekana karaha kwa watu siku zote
    Walimwengu hawatakupa mkono
    Magonjwa yatakuvuta ndani ya shimo
    Utakata tamaa, utaandamwa na balaa
    Pumzi hutoivuta kwa raha
    Kweli usiombe ikuwai
    Survive for fittest, never trust nobody this world of weakness
    Watakukana hata kama ndugu zako
    Watadiriki sema hawajui utokako
    Mama acha kulia, hali ulio nayo ni majaribu tu ya dunia
    Ipo siku mambo yako yatatulia
    Utaweza hata kusahau ya zamani uliopitia
    Oh hii dunia!

    Baga lalinaa aah
    Gendo okore
    You should think about tomorrow, not only today
    Baga lalinaa aah, gendo okore
    Oo uuh, gendo okore

    Wapo wapi marafiki ulokuwa nao
    Enzi zile pesa imekutembelea?
    Hawapo tena nawe wamekukimbia
    Sasa uko waliko tayari wanakukandia
    Mke wako nae anataka taraka
    Anasema maisha nawe ameshachoka
    Anataka arudi kule kwao alipotoka
    Sababu maisha anayoishi nawe ameshachoka
    Ada ya watoto hujalipia
    Kodi ya chumba nayo unadaiwa
    Unazidi changanyikiwa hata unajuta oh kwanini ulizaliwa
    Piga moyo konde, maisha uyashinde
    Bado safari ndefu yenye miba na mabonde
    Usiweke kinyongo hata kama alikutupa
    Remain strong, these tryna be jealous
    That’s all!

    Baga lalinaa aah
    Gendo okore
    You should think about tomorrow, not only today
    Baga lalinaa aah, gendo okore
    Oo uuh, gendo okore

    Binadamu sio watu
    Ukiwa na shida hutowaona
    Ona sasa wamekimbia, uuh oh
    Ona sasa wamekimbia!

    Binadamu sio watu
    Ukiwa na shida hutowaona
    Ona sasa wamekimbia, uuh oh
    Ona sasa wamekimbia!

    Baga lalinaa aah
    Gendo okore
    You should think about tomorrow, not only today
    Baga lalinaa aah, gendo okore
    Oo uuh, gendo okore

    (Ni kweli watakupenda ukiwa na kitu tu)
    Ukiwa na shida hutowaona
    (Watakujali vipi ukiwa na shida ndugu yangu?!)
    Ona sasa wamekimbia, uuh oh
    (Kali, Rasheed)
    Ona sasa wamekimbia!
    (ECT, Master Jay)
    Ona sasa wamekimbia!
    (Maisha yana pande mbili, usife moyo)
    Ona sasa wamekimbia!
    (Zingatia, sikia, siku zote ndo yanavyotokea)


    Comentarios

    Envía preguntas, explicaciones y curiosidades sobre la letra

    0 / 500

    Forma parte  de esta comunidad 

    Haz preguntas sobre idiomas, interactúa con más fans de AY Masta y explora más allá de las letras.

    Conoce a Letras Academy

    ¿Enviar a la central de preguntas?

    Tus preguntas podrán ser contestadas por profesores y alumnos de la plataforma.

    Comprende mejor con esta clase:

    0 / 500

    Opciones de selección