Suscríbete
visualizaciones de letras 1

Bakhresa

Harmonize

Letra

    Bounty
    Bakharesa
    Bakhre, bakhre
    Bakhre, bakhre
    Bakhre, Bakhresa

    Yeah
    Konde boy call me number one, number one
    Bila shaka haujawahi kumuona hata kwa sura
    Boss wa karibia unacho kula
    Huwezi muona kwa TV ata kwa dharula
    Ingawa yeye ndo nwenye king'amuzi

    Hana time na mitandao yani kuuza sura
    Yupe buzy na mafao pesa mlungula
    Angetaka kupita nao wote angeshakula
    Hana huo muda wa makuzii

    Masikini anawapa mitaji wagawane
    Na watu wazima
    Huwezi muona kwenye picha na wajane
    Au mayatima

    Hawezi kujisifia nyumba
    Wala magari range na bimaa
    Riziki anagawa muumba
    Jalajalali kikubwa uzima

    Sura yake kwako lazima itakuwa ngeni
    Uwenda ushapishana nae kwenye foleni
    Maana sio mtu wa kupop mashampeni
    Yeye sio limbukeni yeah

    Mfano wa mtu mwenye pesa
    Ooh pesa aah
    We mtazame bakhresa (bakhresa)
    Mfano wa mtu mwenye pesa aah
    Ooh pesa aah
    We mtazame bakhresa (bakhresa)
    I wanna smoke some weed uuh, uuh, uuh

    Uuh, uuh, uuh, uuh, uuh, uuh
    Uuh, uuh, uuh, uuh, uuh, uuh
    Uuh, Uuh, uh, uuh, uuh, uh
    Bakhresa uuh, bakhresa uuh aah

    Bakhresa hajawahi kugombea cheo
    Au kujisifu na maendeleo
    Hawezi kushika pesa akazigawa
    Hivi ushasikia bakhresa Ana chawa

    Akina tajiri mo kipenzi cha wana samba aah, aah
    Tunawaona insta wakicheza nakuimba aah, aah
    Ghalibu boss wa yanga na GSM
    Yeye Ana utaratibu
    Wa kwenda kwa mkapa kucheki game

    Sio mbaya ila uwezi kumuona bakhresa
    Akijisifu na pesa
    Na majigambo rumbesa
    Bakhresa aah, aah

    Natanzania pekee aliyee juu ya bakhresa
    Ni raisi wa jamuhuri maana yeye ni taasisi
    Ooh and guess what mama yuko peace
    Na ukimuona ametokea
    Akiongea ni kwaajili yetu sisi

    Wakati unajigamba wa mbezi beach
    Bakhresa Ana mashamba huko kijichi
    Ebu acha ushamba pesa haijifichi
    Eti I gat too much money am so rich

    Mfano wa mtu mwenye pesa
    Ooh pesa aah
    We mtazame bakhresa (bakhresa)
    Mfano wa mtu mwenye pesa
    Ooh pesa aah
    We mtazame bakhresa (bakhresa)
    I wanna smoke some weed uuh, uuh, uuh (yao yao)

    Tell them boys we got this new money, na we leave low key baby
    The mix killer (jeshi)


    Comentarios

    Envía preguntas, explicaciones y curiosidades sobre la letra

    0 / 500

    Forma parte  de esta comunidad 

    Haz preguntas sobre idiomas, interactúa con más fans de Harmonize y explora más allá de las letras.

    Conoce a Letras Academy

    ¿Enviar a la central de preguntas?

    Tus preguntas podrán ser contestadas por profesores y alumnos de la plataforma.

    Comprende mejor con esta clase:

    0 / 500

    Opciones de selección