Inicia sesión para activar tu suscripción y eliminar los anuncios

Iniciar sesión
visualizaciones de letras 443

Nakupenda

Jay Melody

Iwe giza baridi na upepo
Iwe kuna mawingu na minyesho
Your body, baby joto (joto)
Unafanya nijihisi special
Unanipa sababu ya uwepo
Kando yako we mtoto

My desire we nipe dawa mi mahututi
Sijielewi, ooh, my God
Shida ni nimekolea penzini
Shida ni baby uko moyoni wewe

Nakupenda we
Nakutaka we
Kwako sijiwezi
Ooh, my love

Mpenzi we
Roho yangu we
Kwako sijiwezi
Ooh, my love

Akili mwili baby
Hasira zangu navituliza
Ukiongea nasikiliza
Yote sababu ya upendo
Pili pili baby

Vindimu chumvi ya kunyunyiza
Yani uroda kupitiliza
Nimeumaliza mwendo
Kiukweli napendwa nachanganywa
Na haya ma raha

Shida ni nimekolea penzini
Shida ni baby uko moyoni, wewe
Nakupenda we
Nakutaka we (oh, nana, nana)
Kwako sijiwezi

Ooh, my love (ooh, my baby)
Mpenzi we (oh, no, no, no)
Roho yangu we (ah, yayaya)
Kwako sijiwezi
Ooh, my love

Agregar a la playlist Tamaño Cifrado Imprimir Corregir Enviar la traducción

Comentários

Envie dúvidas, explicações e curiosidades sobre a letra

0 / 500

Faça parte  dessa comunidade 

Tire dúvidas sobre idiomas, interaja com outros fãs de Jay Melody e vá além da letra da música.

Conheça o Letras Academy

Enviar para a central de dúvidas?

Dúvidas enviadas podem receber respostas de professores e alunos da plataforma.

Fixe este conteúdo com a aula:

0 / 500


Opções de seleção